Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie cjaielewa hata kidogo
hata pale diamond alipoimba "we paja mi kidari,chipsi kachumbari" hujapaelewa au we ni mnigeria unaelewa kiigbo/kifulani tu?Mie cjaielewa hata kidogo
dah! huyu jamaa kila siku anatoa nyimbo tu, mbona tutakoma ss
sasa hivi napiga nyimbo za chibu kwenye gari dar moro halafu zote kali tudah! huyu jamaa kila siku anatoa nyimbo tu, mbona tutakoma ss
dah aisee umenivunja mbavu zangu kwa kweli eti"KUMAMAKE"kumamake diamond c kwa mikwaju hii...maana kwenye waache waoane ya chege umeendelea kuonesha ubabe wa mashairi na swaga,na hii tena ya huyu mzimbabwe ndo naona umeamua kuonesha kuwa wew ni KOMANDOO wa mistari na kucheza na sauti. Salute homy!
Naskia now anaTrend huko zimbabwe balaa talk of the town" hii ngoma kweli ndio best collabo ya Diamond 2016
Usijali tunaelewa [emoji1] [emoji1]Nimeangalia kwa kuurudia hadi natamani kudumbukia kwenye TV kwa kweli.
Uwiii usijiulize kuna smati...
Usijali tunaelewa [emoji1] [emoji1]
Haha itakugharimu unafikir utaona sink hiv hiv na mama (sandra) anataka mjukuu [emoji23]Poa poa pamoja kuburudika
Huyu Dai anazidi kunikuna haswa. Karibuni lazima nipige kambi getini Madale, anipe tua nione sinki la gold.
Haha itakugharimu unafikir utaona sink hiv hiv na mama (sandra) anataka mjukuu [emoji23]
Hahahahaa english haijifunzwi uzeeni kashachelewa" atulie tu na a behaveHahahaaaaaa umenivunja mbavu. Nikiingia nitamuombea ajifunze kimombo kidogo, asiharibu upangaji nyumba wa Z na pia kufunga mdomo/kutoka mitandaoni sababu yeye ni mama wa staaa... asinitie nami
hasira kutaka kukimbiza mashabiki... hapo atatulia tu. Eeeeh aka Kendra nani sijui anajiita...
Kwani mdau na wewe ni timu AJE??