Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kuna huyu mwanamuziki anaitwa Jaivah. Nashauri BASATA wafungie kabisa nyimbo zake kwa sababu anaimba matusi mengi sana. Hii nchi sidhani kama tuko huru kiasi hicho, kwani tunapaswa kulinda maadili ya jamii.