Jaivah afungiwe na BASATA kwa kuimba matusi mengi

Mabantu, hawa nao ni kiboko kwa matusi, waangaliwe pia. Lol

Kibane bane mwisho kiliwe na Nyerere.

Nilikuwa sehemu ikapigwa hii nyimbo wanawake walichukia Sana

Maana mzee mmoja alihoji kinini kibanwe banwe

It was shit wasanii wasasa

🤗
 
mtoto kautaa mtoto kautaka..hii nyimbo imekula promo zaidi baada ya yule binti wa yombo kupigwa mtungo na wahuni..
 
Katika wasanii kumi wanao-trend hakuna ambae haimbi matusi.

Hiki kiwanda kimeshavamiwa .

Kitakuja kujifia Kama bongo movie endapo wakiendelea hivi.

Uwepo wa social network umesaidia Ila tofauti na hapo wasingepenya.
 
Matusi gani au lugha chafu maana matusi hufanyika mkiwa uchi.......yaani kuna matusi ya...
...
1..Me na ke...bible and qoroan matusi

2...me na double ke... qoroan matusi

3..me na me...satan plan matusi

4..ke na ke...satan plan matusi
 
Miss Natafuta kautaa, miss natafuta kautaka, miss natafuta kautaa, miss natafuta kautaka, hapo kwenyewe vipiiiiiiii, apo kwenyewe shegaaaa, aweeee, kautaka mwenyewe wahuni tunamega,

miss natafuta kalilia nini miss, kalilia wembe, miss natafuta kapewa nini miss kapewa wembe, oya mwanangu Mzee wa kupambania peleka moto Mzee wa kupambania

Miss natafuta kautaa, miss natafuta kautaka..
 
Angekuwa amegusa pande za Si hasa sana sana Wakulungwa,, angekuwa tayari kashafungiwa!! 🤔
 
Inspiration ni ngoma ya John ya Lil Wayne ft Rick Ross
 
Narudia tena hakuna tena wimbo uliotoka kuanzia 2020 uliokosa matusi!! Kama upo uweke hapa!!
Sema asilimia kubwa ya nyimbo zilizotoka 2020 na kuendelea zina matusi, usijumlishe zote! Nasikiliza Mar Gaya ya Mocco Genius ipo vizuri tu wala hakuna makandokando kama hayo
 
Miss Natafuta kautaa, miss natafuta kautaka, miss natafuta kautaa, miss natafuta kautaka, hapo kwenyewe vipiiiiiiii, apo kwenyewe shegaaaa, aweeee, kautaka mwenyewe wahuni tunamega,

miss natafuta kalilia nini miss, kalilia wembe, miss natafuta kapewa nini miss kapewa wembe, oya mwanangu Mzee wa kupambania peleka moto Mzee wa kupambania

Miss natafuta kautaa, miss natafuta kautaka..
Nisikukamate wewe dogo. Shindwa
 
Oyaaa ni kumwaga moto tu
 
Back
Top Bottom