Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaimba mno wafuatilieNigeria mbona hawaimbi
Hongera kwa kupata mtoto!Kuna huyu mwanamuziki anaitwa Jaivah. Nashauri BASATA wafungie kabisa nyimbo zake kwa sababu anaimba matusi mengi sana. Hii nchi sidhani kama tuko huru kiasi hicho, kwani tunapaswa kulinda maadili ya jamii.
Inawezekana lugha wanayoitumia kwenye hayo matusi haielewi ndio tatizo!wanaimba mno wafuatilie
kwa sababu lyrics hauelewi unavutiwa na midundo 'Nigerian Pidgin'Nigeria mbona hawaimbi
Huo wimbo wanawake tunauchukia balaaHongera kwa kupata mtoto!
Mtoto kautaka ,mtoto kautaka
Hii ni kama issue ya pombe, ni mbaya ila inaingizia kipatoKuna matusi na matusi .ila jamaa kazidi ni hatari
mbna wimbo mzuri sanaHuu wimbo nilisikia napata kichefuchefu
Au tumbaku utasikia inaharibu akili lakini kila siku ndio inaongoza kwa mapato huko Tabora!Hii ni kama issue ya pombe, ni mbaya ila inaingizia kipato
Kesi ngumu
Ile ni hatarii .au nyimbo zao zipigwe club Tu tena usiku WA manane
Wanavyoviimba ndivyo kwasasa vipo kwenye jamii, mbona hata Zuchu kaimba kuhusu wala nauli!Msanii -ni kioo cha jamii
Anaangaza kilichopo katika jamii then anaenda kuimba .
Ungejikita kuangalia jamii yako inapenda hizo nyimbo au haipendi.
So jaiva anachokifanya anakuletea karibu kile unachowaza katika akili yako na sio vinginevyo.
Ukisema uimbe mambo deep itakuchukua muda Sana Ku-make attention ya hadhira.