Jaji aliyetoa Hukumu kesi ya Mpendazoe amekuwa Jaji wa Rufaa

Jaji aliyetoa Hukumu kesi ya Mpendazoe amekuwa Jaji wa Rufaa

Jaji Ibrahim Juma aliyeamua kesi ya Mpendazoe na aliyekuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu,Dar es Salaam Jaji Mmila wameteuliwa kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa.Sherehe za kuwaapisha zinaeandelea Ikulu muda huu.

Kuapishwa lazima kufanyike haraka, kibaki style, kwa sababu maneno ni mengi sana.
 
rizmoko anaonekana ni kilaza paseeee, naunga mkono hoja 100%, kuwa uteuzi huu ni kinyume na taratibu!
 
Wakuu,nimetoka nimetoka Mahakamani sasa na ninaomba niendelee,

Kiufupi sina shaka mimi kama mwanasheria na credentials za Jaji Juma. Kilichotokea ni
hiki,Riz1akiwa mwaka wa pili akisoma LL.B pale UDSM (nilikuwa naye darasa moja) mambo yalimuelemea sana na hivyo akachezeshwa disco. Wakati huo Dr. Ibrahim Hamis Juma (sasa Prof. I.H. Juma) ndiye aliyekuwa mkuu wa Kitivo cha Sheria. Ilibidi afanye analoweza kuwezesha Riz arudi shule na hatimaye alirudishwa kuendelea na shule akaingia mwaka wa 3. Ikumbukwe tu kipindi hicho Baba Mwanaasha alikuwa Wizara inayoongozwa na Membe kwa sasa.Mara tu baada ya mzee kukamata nchi katika kulipa fadhila kwa yaliyofanywa kwa kijana wake,Baba Mwanaasha akamteua Dr. I.H. Juma kuwa mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria (na mpaka ninapoandika haya bado anashikilia cheo hicho). Haikupita muda mrefu,fadhila zikaendelea kulipwa zaidi akateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Sasa nadhani mkuu ameona amalizie alichokiahidi kwa kumteua kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa kabla ya kipindi chake cha pili hakijaisha.

Mapendekezo:

Kwa lengo la kuepuka favouratism inayofanywa kwenye nafasi nyeti kama hii nashauri tufuate utaratibu wa kupata Majaji kama ambavyo jirani zetu Kenya wanafanya.Nafasi hizi ziwe zinatangazwa kuruhusu wanaodhani wanasifa waombe na kufanyiwa public interviews,itatusaidia kama nchi kujua kuwa mhimili ambao ni kimbilio la wanyonge kwenye kutafuta haki uko kwenye watu wenye mikono safi

Naunga mkono hoja kuhusu mapendekezo yako...
 
hata prof nae kabebwa. eti kamsaidia riz1. kwani pale law alikuwa peke yake? akina chachage, late walikuwa wapi? hivi hamuonagi hata aibu na utumbo wenu huu?
choo.
Wana JF,

Nipo hapa Mahakama Kuu DSM ambapo nimekuja kuhudhuria kesi ya mteja wangu. Kesi zote hapa zinaahirishwa kwa kuwa Majaji wote wapo Ikulu ambapo wamekwenda kuhudhuria uapishwaji wa Majaji wapya wa Rufaa,akiwemo Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma. Nutarudi na taarifa ndefu kumhusu Jaji huyo nikimaliza kesi hapa,ila uteuzi wake tangu alipoteuliwa ba ****** kuwa mwenyekiti tume ya kurekebisha sheria,na baadaye. ujaji ulitokana na jinsi alivyombeba Riz1 wakati akiwa mkuu wa Kitivo cha Sheria
 
Ritz vs Hu juntao again Ritz vs I. H. Juma. Tunangoja mengine wakuu, mwisho tutafika.
 
Tumekwishaaaa karne 21, njia za kumchagua jaji ni nyepesi sana kukopi sio dhambi kwanini tusitumie njia za usa kumpata jaji bora hata kama atapendekezwa na rais lkn bunge na watu mbalimbali wapate nafasi ya kumhoji kiundani kujua msimamo wake mbalimbali kuhusu anachaokiamini ktk misingi ya kisheria na kisiasa ili kupunguza malalamiko ya kuwa rais anapiga chapa ya nike
 
Ndugu wadau wenzangu tuache uvivu wa kufikiri,mzembe yoyote tusikubali atujaze mimba ya ujinga halafu tukakubali,kwa nini mkubaliane na mwandishi kuwa Jaji Ibrahim kapewa wadhifa kwa sababu alimbeba Ridhwani chuoni,je nani ana uhakika na hilo? Je kuna ushahidi wowote juu ya uzushi huu? Tujenge hoja tuache kupokea taarifa za kizushi na kuzikubali hata kama wahusika wana mapungufu yao,,"mnyonge mnyongeni haki yake mpeni".
 
hata huyu naye anasingiziwa!! Basi, hakuna anayefaa kuteuliwa ujaji. Basi hata huo ukuu wa kitivo itakuwa alipewa ili ambebe ritz.



uzandiki tuh

chuki ni uchafu wa moyo,na ni hasara kuwa nayo...!!
 
hata prof nae kabebwa. eti kamsaidia riz1. kwani pale law alikuwa peke yake? akina chachage, late walikuwa wapi? hivi hamuonagi hata aibu na utumbo wenu huu?
choo.



AMENIPA HASIRA SANA HUYO MLETA MADA HII
:frusty:
 
Kwa sababu uwezo wetu wa maamzi umefunikwa na kombe la utashi, kila siku tutakuwa watu wa kuiga kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zetu hata kwa lile tulilo na uwezo nalo. Suala la nafasi hizi kutangazwa hadharani ni la muhimu sana ila vihiyo wengi ambao ndio wachza faulo watatupwa nje. Huo ndio wasiwasi wangu.
 
kazi hipo nakumbuka maneno ya tundu lisu kuusu uteuzi wa majaji wetu na kauli ya bwana mkubwa kule arusha kwenye kikao chao cha majaji kama naona kizunguzungu goja tukusubili uludi ujanjaunjaja

sasa mpendazoe si alikata rufaa, huku nako anaenda kukutana na huyu duh!
 
Mkuu tumekusoma vema na hii ni hatari sana maana watu wanapeana tu kwa undugunazation-nepotism.labda kwa kuwa baba mwana Asha aliwahi kusema ukitaka kula sharti uliwe.
 
hata prof nae kabebwa. eti kamsaidia riz1. kwani pale law alikuwa peke yake? akina chachage, late walikuwa wapi? hivi hamuonagi hata aibu na utumbo wenu huu?
choo.
Aliyekuambia Prof.Chachage Seth Chachage alikuwa Kitivo cha Sheria nani? Yeye alikuwa Sayansi za Jamii Mkuu
 
awamu hii inaongoza kwqa uteuzi wa hovyo
Noma! naomba kujua wale waliotaka kumnyonga Rizmoko China kwa kukutwa na unga ,si watauziwa nchi,ikiwa profesa tu kwa kumbeba rizmoko kapewa vyeo harakaharaka,du! !!!!!! hi nchi imekwisha magamba wanatupeleka kubaya kweli.
 
Kumbe Kikwete ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Mahkama..Tumia rungu lako ******
 
Back
Top Bottom