Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
kwahio tutegemee majaji watakao amua kesi ya kamanda lema nao watapandishwa vyeo
Sasa CHANDE tapewa cheo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahio tutegemee majaji watakao amua kesi ya kamanda lema nao watapandishwa vyeo
Jaji Ibrahim Juma aliyeamua kesi ya Mpendazoe na aliyekuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu,Dar es Salaam Jaji Mmila wameteuliwa kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa.Sherehe za kuwaapisha zinaeandelea Ikulu muda huu.
Wakuu,nimetoka nimetoka Mahakamani sasa na ninaomba niendelee,
Kiufupi sina shaka mimi kama mwanasheria na credentials za Jaji Juma. Kilichotokea ni
hiki,Riz1akiwa mwaka wa pili akisoma LL.B pale UDSM (nilikuwa naye darasa moja) mambo yalimuelemea sana na hivyo akachezeshwa disco. Wakati huo Dr. Ibrahim Hamis Juma (sasa Prof. I.H. Juma) ndiye aliyekuwa mkuu wa Kitivo cha Sheria. Ilibidi afanye analoweza kuwezesha Riz arudi shule na hatimaye alirudishwa kuendelea na shule akaingia mwaka wa 3. Ikumbukwe tu kipindi hicho Baba Mwanaasha alikuwa Wizara inayoongozwa na Membe kwa sasa.Mara tu baada ya mzee kukamata nchi katika kulipa fadhila kwa yaliyofanywa kwa kijana wake,Baba Mwanaasha akamteua Dr. I.H. Juma kuwa mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria (na mpaka ninapoandika haya bado anashikilia cheo hicho). Haikupita muda mrefu,fadhila zikaendelea kulipwa zaidi akateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Sasa nadhani mkuu ameona amalizie alichokiahidi kwa kumteua kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa kabla ya kipindi chake cha pili hakijaisha.
Mapendekezo:
Kwa lengo la kuepuka favouratism inayofanywa kwenye nafasi nyeti kama hii nashauri tufuate utaratibu wa kupata Majaji kama ambavyo jirani zetu Kenya wanafanya.Nafasi hizi ziwe zinatangazwa kuruhusu wanaodhani wanasifa waombe na kufanyiwa public interviews,itatusaidia kama nchi kujua kuwa mhimili ambao ni kimbilio la wanyonge kwenye kutafuta haki uko kwenye watu wenye mikono safi
Wana JF,
Nipo hapa Mahakama Kuu DSM ambapo nimekuja kuhudhuria kesi ya mteja wangu. Kesi zote hapa zinaahirishwa kwa kuwa Majaji wote wapo Ikulu ambapo wamekwenda kuhudhuria uapishwaji wa Majaji wapya wa Rufaa,akiwemo Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma. Nutarudi na taarifa ndefu kumhusu Jaji huyo nikimaliza kesi hapa,ila uteuzi wake tangu alipoteuliwa ba ****** kuwa mwenyekiti tume ya kurekebisha sheria,na baadaye. ujaji ulitokana na jinsi alivyombeba Riz1 wakati akiwa mkuu wa Kitivo cha Sheria
hata huyu naye anasingiziwa!! Basi, hakuna anayefaa kuteuliwa ujaji. Basi hata huo ukuu wa kitivo itakuwa alipewa ili ambebe ritz.
hata prof nae kabebwa. eti kamsaidia riz1. kwani pale law alikuwa peke yake? akina chachage, late walikuwa wapi? hivi hamuonagi hata aibu na utumbo wenu huu?
choo.
kazi hipo nakumbuka maneno ya tundu lisu kuusu uteuzi wa majaji wetu na kauli ya bwana mkubwa kule arusha kwenye kikao chao cha majaji kama naona kizunguzungu goja tukusubili uludi ujanjaunjaja
Aliyekuambia Prof.Chachage Seth Chachage alikuwa Kitivo cha Sheria nani? Yeye alikuwa Sayansi za Jamii Mkuuhata prof nae kabebwa. eti kamsaidia riz1. kwani pale law alikuwa peke yake? akina chachage, late walikuwa wapi? hivi hamuonagi hata aibu na utumbo wenu huu?
choo.
Noma! naomba kujua wale waliotaka kumnyonga Rizmoko China kwa kukutwa na unga ,si watauziwa nchi,ikiwa profesa tu kwa kumbeba rizmoko kapewa vyeo harakaharaka,du! !!!!!! hi nchi imekwisha magamba wanatupeleka kubaya kweli.awamu hii inaongoza kwqa uteuzi wa hovyo