WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ushahidi mimi ni mtuhumiwa au mpumbavu kama wewe,ng'ombe waliokufa huko Arusha sisi tumewaona???Vita inayoendelea baina ya Urusi na Ukraine wewe umeishuhudia kwa macho??Msituletee upumbavu kwa vitu vinavyoonekana na kusikika laivu kwa kisingizio cha ushahidi,tuliyoyaona na tuliyoyasikia na kushuhudia awamu ya tano yanatisha sana.Unadhani sikufuatilia hiyo habari !!!,basically niletee hapa ushahidi kwamba Sabaya alikiri kutumwa kuua, Nina hoja kubwa Sana ambayo hujaielewa
Watakuja walionielewa wakusaidie.kwa kifupi mleta Uzi kamlisha Maneno Sabaya,Sabaya hakuwahi kukiri kutumwa kuua Bali alijibu kwamba Kuna baadhi ya tuhuma zake alizitelekeza kutokana na kupewa amri na "mamlaka ya uteuzi" Kama alivoiita ila hajawahi kuwa specific kwamba alitumwa kuua,kubaka na Rais,hayo ni maoni yenu nyie