Jaji aliyetoa hukumu ya Sabaya tutapataje CV yake? Anasifika Kwa uadilifu ofisini kwake na machoni pa jamii?

Unadhani sikufuatilia hiyo habari !!!,basically niletee hapa ushahidi kwamba Sabaya alikiri kutumwa kuua, Nina hoja kubwa Sana ambayo hujaielewa
Watakuja walionielewa wakusaidie.kwa kifupi mleta Uzi kamlisha Maneno Sabaya,Sabaya hakuwahi kukiri kutumwa kuua Bali alijibu kwamba Kuna baadhi ya tuhuma zake alizitelekeza kutokana na kupewa amri na "mamlaka ya uteuzi" Kama alivoiita ila hajawahi kuwa specific kwamba alitumwa kuua,kubaka na Rais,hayo ni maoni yenu nyie
Ushahidi mimi ni mtuhumiwa au mpumbavu kama wewe,ng'ombe waliokufa huko Arusha sisi tumewaona???Vita inayoendelea baina ya Urusi na Ukraine wewe umeishuhudia kwa macho??Msituletee upumbavu kwa vitu vinavyoonekana na kusikika laivu kwa kisingizio cha ushahidi,tuliyoyaona na tuliyoyasikia na kushuhudia awamu ya tano yanatisha sana.
 
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji

Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho. Pamoja na technicalities zote lakini mtuhumiwa Sabaya alikiri Mbele ya mahakama kwamba alitenda aliyoyatenda Kwa kutumwa na mkubwa wake.

Hii maana yake Nini, hakuna ubishi kwamba alitenda na Kwa mazingira haya hukumu haiwezi kujikita kwenye technicalities Kwa sababu mtuhumiwa anakiri kutenda aliyotuhumiwa nayo. Hoja hapa ni je Mhe. Jaji alipoona mtuhumiwa amekiri alidhani ni nani mwingine anapaswa kuthibitisha vinginevyo? Kwanini Mhe. Jaji asituambie mkuu wa wilaya akitumwa kuua na bosi wake Hii inakuwa Ina immunity?

Niombe Kwa utata huu tupate cv ya jaji huyu itatusaidia kujua ni muadilifu au maelekezo kutoka juu.
Imekuuma sana?
 
"During those days the duty of the police officer were to maintain laws and order 🙄
But to day it is the order that maintain police.... and that is the order from above"
Teacher mpamire
 
And the question is what went wrong
 
Fuatilia mwenendo wa kesi ulivyokuwa usitulishe matangopori,Sabaya alisema alikuwa anatekeleza yale aliyotumwa na JPM kama ni kupora,kuua,kubaka,kulawiti,kupiga yote hayo aliyatekeleza kwa idhini ya Jpm.

Du jamaa bado uko na marehemu tu.
 
Unadhani sikufuatilia hiyo habari !!!,basically niletee hapa ushahidi kwamba Sabaya alikiri kutumwa kuua, Nina hoja kubwa Sana ambayo hujaielewa
Watakuja walionielewa wakusaidie.kwa kifupi mleta Uzi kamlisha Maneno Sabaya,Sabaya hakuwahi kukiri kutumwa kuua Bali alijibu kwamba Kuna baadhi ya tuhuma zake alizitelekeza kutokana na kupewa amri na "mamlaka ya uteuzi" Kama alivoiita ila hajawahi kuwa specific kwamba alitumwa kuua,kubaka na Rais,hayo ni maoni yenu nyie
Kwani alituhumiwa kwa kosa gani? Zile tuhuma ndiyo zilizomfanya akajitetea ya kuwa alikuwa akitii mamlaka za uteuzi hivyo basically ni kwamba alikiri huku akidai zilikuwa ni directives from 'above'.
 
Fuatilia mwenendo wa kesi ulivyokuwa usitulishe matangopori,Sabaya alisema alikuwa anatekeleza yale aliyotumwa na JPM kama ni kupora,kuua,kubaka,kulawiti,kupiga yote hayo aliyatekeleza kwa idhini ya Jpm.

Unadai Katiba mpya. Rais Ana madaraka makubwa sana. Sasa mtu mwenye madaraka makubwa amtume mkuu wa Wilaya mfano abake-then what? Aue - then what. Alawiti. Then what. Yani inamsaidiaje yeye. Na nani katika hao waliobakwa. Kulawitiwa alikuwa kitisho kwa Rais dikteta mwenye mamlaka yasiyo na mpinzani ?

Huyu sabaya unadhani JPM alimjua kabla ya kumteua? Rais dikteta hawezi mtuma mkuu wa Wilaya. Anatuma Jeshi na polisi. Wamalize ghafla.

JPM alikuwa Jembe lisilo na mpinzani. Waulize magaidi waliotapakaa mwaka 2014-2015 kilochowapata alipoingia JPM.

Ukiwa unakula na nyaku tu huwezi jua ya msingi. Utakuwa inawashwa tu na mkunaji Hakuna. Jitahidi kufanya kazi na akili yako itaongozwa na reason sio bangi. Haki iliyompiga huyo sabaya 30 ndo haki hiyo iliyomweka huru. Haki iliyomtia Mbowe Mahabusu ndo Haki hiyo iliyomtoa nk. Life goes on.
 
Na akawaacha magaidi wanasaivu sasa hivi wasiojulikana wanateseka sana kwa vile hawana mtetezi tena.
 
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji

Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho. Pamoja na technicalities zote lakini mtuhumiwa Sabaya alikiri Mbele ya mahakama kwamba alitenda aliyoyatenda Kwa kutumwa na mkubwa wake.

Hii maana yake Nini, hakuna ubishi kwamba alitenda na Kwa mazingira haya hukumu haiwezi kujikita kwenye technicalities Kwa sababu mtuhumiwa anakiri kutenda aliyotuhumiwa nayo. Hoja hapa ni je Mhe. Jaji alipoona mtuhumiwa amekiri alidhani ni nani mwingine anapaswa kuthibitisha vinginevyo? Kwanini Mhe. Jaji asituambie mkuu wa wilaya akitumwa kuua na bosi wake Hii inakuwa Ina immunity?

Niombe Kwa utata huu tupate cv ya jaji huyu itatusaidia kujua ni muadilifu au maelekezo kutoka juu.
Mbona nyinyi michadema mijinga sana ebooo
 
Nchi hii hakuna haki kabisa, jambawazi kama sabaya na matendo yote yale maovu anaachiwa?
Kubaka! tena wake za watu!
Kukata watu wasikio!
Kupora watu mali zao hadharani!
Huyu anatakiwa sasa ahukumiwe mitaani na wananchi wenye hasira kali kama vibaka wengine!
Sasa siujinyonge
 
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji

Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho. Pamoja na technicalities zote lakini mtuhumiwa Sabaya alikiri Mbele ya mahakama kwamba alitenda aliyoyatenda Kwa kutumwa na mkubwa wake.

Hii maana yake Nini, hakuna ubishi kwamba alitenda na Kwa mazingira haya hukumu haiwezi kujikita kwenye technicalities Kwa sababu mtuhumiwa anakiri kutenda aliyotuhumiwa nayo. Hoja hapa ni je Mhe. Jaji alipoona mtuhumiwa amekiri alidhani ni nani mwingine anapaswa kuthibitisha vinginevyo? Kwanini Mhe. Jaji asituambie mkuu wa wilaya akitumwa kuua na bosi wake Hii inakuwa Ina immunity?

Niombe Kwa utata huu tupate cv ya jaji huyu itatusaidia kujua ni muadilifu au maelekezo kutoka juu.
wewe ni mwehu wahed
 
A
Unadhani sikufuatilia hiyo habari !!!,basically niletee hapa ushahidi kwamba Sabaya alikiri kutumwa kuua, Nina hoja kubwa Sana ambayo hujaielewa
Watakuja walionielewa wakusaidie.kwa kifupi mleta Uzi kamlisha Maneno Sabaya,Sabaya hakuwahi kukiri kutumwa kuua Bali alijibu kwamba Kuna baadhi ya tuhuma zake alizitelekeza kutokana na kupewa amri na "mamlaka ya uteuzi" Kama alivoiita ila hajawahi kuwa specific kwamba alitumwa kuua,kubaka na Rais,hayo ni maoni yenu nyie
Chana na juha huyo
 
Huyu Jaji ana asili ya Rwanda/Burundi, wazazi wake walikaa kambi za huko Mkoa wa rukwa, baadae akawa mbeba mikoba wa mwanasheria mkuu(Katibu), nadhani alichomeka jina lake kwenye majina yaliyopelekwa kwa Rais. Hana historia yoyote ile katika fani ya sheria zaidi ya kubeba mabegi ya mwanasheria mkuu wa serikali
Kuna watanzania wa hovyo sana kama wewe. Kila mtu serious mnamtafutia asili batili .Mkapa walisema is from Msumbiji,JpM ni muhutu.shenzi kabisa.unadhalilisha utanzania
 
Moderator, huyu anatukana,piga ban huyu
 
Mifumo ya polisi na mahakama Tanzania "inaruhusu" ndugu kuchakarika wakifika bei wamtoe ndugu yako. Ukifungwa ujue kabisa huna namna au umeshikiwa chini na mwenye nguvu ya pesa ama serikali.
Inafanyika sana.
Ila mimi ninachojua ni kuwa Sabaya alifanya makosa. Na kwa makosa yake yale atahukumiwa ipasavyo!
 
Kuna watanzania wa hovyo sana kama wewe. Kila mtu serious mnamtafutia asili batili .Mkapa walisema is from Msumbiji,JpM ni muhutu.shenzi kabisa.unadhalilisha utanzania
Watanzania ndo waowafanyia hivyo watanzania wenzao. Kama hayajakukuta subiri
 
Fuatilia mwenendo wa kesi ulivyokuwa usitulishe matangopori,Sabaya alisema alikuwa anatekeleza yale aliyotumwa na JPM kama ni kupora,kuua,kubaka,kulawiti,kupiga yote hayo aliyatekeleza kwa idhini ya Jpm.
Je hiyo Ni Kinga Kama Kuna jinai?
 
Back
Top Bottom