Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo.
Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA.
Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia wanafatilia hatua kwa hatua kuona kama Haki inatendeka.
Wafatiliaji wanajua Kila kitu,wanajua shitaka la kweli na shitaka la uongo,wanqjua shahidi wa kweli na shahidi wa uongo,wanajua vithibiti vya kweli na vya uongo,wanajua hukumu ya haki na hukumu ya uongo.
Ukitoa hukumu yoyote wanapima kama inalingana na hukumu Yao.
Kuanzia vijijini,wilwyani,mkoani,nchini na nje ya nchi wanajua KESI ya kweli na kesi ya uongo.
Alionya kwamba mahakimu na majaji wanatakiwa kuangalia kama wanataka heshima Yao istawi ama ishuke ni wao wenyewe kuamua kuamua kesi kwa haki.