BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
- Sasa look huyu ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mwalimu, alipokuwa hai Mwalimu hatukusikia huyu wala Warioba wakidai Serikali Tatu wote walifyata mikia sasa Mwalimu hayupo ndio wanajifanya wana akili sana za namna ya kutusaidia Tanzania kwani alipokuwa Serikali kilichomshinda kulilia Serikali Tatu ni nini hasa mpaka aje alilie leo amepitwa kabisa na wakati? I mean anaongea nonsense kwa sababu kama anajua uamuzi ni wananchi angesema maoni yake tu kuhusu the ishu lakini sio kujifanya anwaongelea wananchi wote kwa sababu hana nafasi yoyote ya kuchaguliwa na wananchi kwamba ana uhalali wa kuwazungumzia Serikali TaTU,
- Halafu hawa wazee ninapata taabu sana kuelewa elimu zao I mean ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza kulilia Serikali Tatu? ni wapi kuna Serikali Tatu na kuna maendeleo ambayo hawakuwa nayo kabla ya kuwa na Serikali Tatu? Muungano wa sasa una matatizo yes yanatakiwa kutatuliwa sio kukimbiwa na visingizio vya Serikali Tatu, kama alijua kwamba Serikali Tatu ndio the way alipokuwa Serikalini tena Mwanasheria Mkuu mbona hakusema wala kulia lia kama anavyofanya sasa?
- Yeye ni mwananchi tu kama wengine anachotakiwa kufanya ni kusema maoni yake tu lakini sio kutisha Serikali na CCM, hapana CCM kama chama kuna haki kikatiba ya kusimia maamuzi na misimamko yake, hawa watu ni wa kuwapuuza na ni hatari sana kwa Taifa, ninasema hivi Kiongozi yoyote aliyekuwepo under Mwalimu na hakusema kitu kuhusu Serikali Tatu then ni bora wakanyamaza ninaweza kuelewa leo Kasaka Njelu akisimama na kusema anataka Serikali Tatu lakini sio hawa wanafiki!!
Le Mutuz
Kila jambo na wakati wake,sasa ni wakati wa kubadilisha mfumo wa muungano,kero za muungano 18-21 mpaka leo hii hazijaweza kutatuliwa kwa mfumo wa serikali 2.Pia wewe huoni kuwa zanzibar wameshajiandaa kujitegemea kwa kila kitu?Jee mmesha wahi kuwaeleza wananchi kwa nini mnataka serikali 2 zaidi ya kusema habari za nyerere?muungano uliopo ni maamzui ya watu 2 nyerere na karume tuu haukushirikisha wananchi,sasa ni wakati wa kushirikisha wananchi wote.NYIE MA CCM ya bara mnatumiwa na wanaccm wachache wenye uchu wa madaraka huku bara bila ya nyie kujitambua!!!
Wewe huna elimu hata chembe ya waliyonayo hao wazeee!elimu ya kuwadia ma miss utaiiata elimu nayo?sema hapa sababu zako za kung'ang'angania serikali 2 ni kuone kama una kitu kichwani