huyo huenda alipotea kwa kwasababu ya mambo ya mapenzi, uzamiaji ughaibuni kwa kuondoka bila kuaga kwao au bishara haramu ya usafirishaji wa binadamuWakuu,
Imeisha hiyooooo!
Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza.
Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati haoa hapa🙄🙄.
Nimeishia hapo hapo. Not worth my internet bundle!Wakuu,
Imeisha hiyooooo!
Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza.
Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati haoa hapa🙄🙄.
Ulitegemea atakuja kusema ni ni?Wakuu,
Imeisha hiyooooo!
Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza.
Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati haoa hapa🙄🙄.
UmeuaHamna jipya apa
RIP Ally Kibaohuyo huenda alipotea kwa kwasababu ya mambo ya mapenzi, uzamiaji ughaibuni kwa kuondoka bila kuaga kwao au bishara haramu ya usafirishaji wa binadamu