Jaji Chande ameshatuangusha, kwamba hakuna utekaji unaohusisha wa kisiasa na serikali?

Jaji Chande ameshatuangusha, kwamba hakuna utekaji unaohusisha wa kisiasa na serikali?

Wewe ulitegemea hao wastaafu wa CCM watakuja na nini tofauti na hiki kipeperushi cha udaku.
 
I'm smelling something fishy from these cooked data from old Mzee.
Nothing good come from commission formed from first accused
 
Wakuu,

Imeisha hiyooooo!

Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza.

Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati haoa hapa🙄🙄.
Huyo Chande ni chawa tu kama chawa wengine, what exactly were you expecting?
***** Chande.
NB: Mtu principled asingekubali kuwa katika uchoko ule ulioitwa TUME.
 
RIP CHAHA WANGWE
Polisi kama si wao waliomuua wanasubiri/walisubiri Nini kuwakamata wahusika.
Hapo mliona kama spinning game ilikamata public ila kila mwenye akili timamu anajua polisi wasipohusika lazima suspect/suspects watakamatwa.
NB: Rip tens of thousands of Tanganyikans killed by Samia.
 
acha kuweweseka gentleman
 
huyo huenda alipotea kwa kwasababu ya mambo ya mapenzi, uzamiaji ughaibuni kwa kuondoka bila kuaga kwao au bishara haramu ya usafirishaji wa binadamu
Mkuu mi nakuombea UISHI SANA afu makosa yako yote walipie ndugu zako wa damu wa karibu wanaokufumbia macho na kunufaika na upuuzi huu, wewe ukishuhudia😌😌
 
Nadhani tulitegemea haya si vinginevyo.
Acha waendelee kulikoroga soon watalinywa.
 
Mkuu mi nakuombea UISHI SANA afu makosa yako yote walipie ndugu zako wa damu wa karibu wanaokufumbia macho na kunufaika na upuuzi huu, wewe ukishuhudia😌😌
huna haja ya kuniombea ndugu mdau,
neema na baraka za Mungu zilizopo juu yangu ni kwa manufaa yako na ya wengine wengi sana ndani na nje ya nchi,

kwa mapenzi ya Mungu,
nitakuepo sana katika dunia hii kueleza ukweli bila kificho katika mambo yote ya msingi nchini.

kwa ujasiri mkubwa na bila kukata tamaa,
nitakemea porojo, uzushi, uongo na kila aina ya upotoshaji nonsense ndani na nje ya JF,

yaani mpange matukio ya fujo na vurugu nchin halafu mje hapa eti ng'we ng'we ng'we,
haya sasa jaji chande kawaumbua.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli, ukiona polisi hawakamati muhusika wa mauaji ujue ni wao wamehusika.
RIP Watanganyika waliouawa kwa maelfu na Samia.
jaji chande kawapiga wazushi kwenye mshono kabisa dah!
 
Kwa kweli hakuna cha maana kwa hii tume.
Watanzania wamekuwa very disappointed na huyu Mzee.
 
Chande ni mwehu.mimi niliishia kumsikiliza aliposema,waliokufa ni 518 kati ya hao watoto ni 818
 
Kwani hiyo octoba 25 ambayo mda mwingi wamekua wakiitaja ni kujichanganya au ndo wage wage umewapanda 25 octoba kulikua na nini
 
Back
Top Bottom