Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.😂Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora malizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa za posho na amekubali kuaibishwa na GenZ, basi aendelee na vitisho hata heshima ndogo aliyostaafu nayo itapotea.
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.
View attachment 3521332
Tanzania mtu ukipewa ka cheo kidogo tu ni kama umepata sehemu ya kumalizia hasira zako kwa wananchi.Mnara wa babeli huu mkuu lugha gongana.
Vocha yako mwenyewe jioni land cruiser tinted mlangoni ndio inakuwa adios amigoAsubuhi unapeleka ushahidi kwa raha zako.. Usiku unafuatwa na wasiojulikana unatekwa unaenda kuteswa na kupotezwa
Sitafanya huo ujingaVocha yako mwenyewe jioni land cruiser tinted mlangoni ndio inakuwa adios amigo
Halafu ndugu zako wakienda polisi wanaambiwa hatuna mtu kama huyo, inasikitisha.Asubuhi unapeleka ushahidi kwa raha zako.. Usiku unafuatwa na wasiojulikana unatekwa unaenda kuteswa na kupotezwa
LOFA mwingine huyu!Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa za posho na amekubali kuaibishwa na GenZ, basi aendelee na vitisho hata heshima ndogo aliyostaafu nayo itapotea.
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.
View attachment 3521332
Huwa naangalia maofisa wenye nafasi za kimamlaka huko maofisini wanavyotuna na kuongea na kutembea kwa mbwe mbwe naishia kusema.......Hiiiiiiiiii! 😂Tanzania mtu ukipewa ka cheo kidogo tu ni kama umepata sehemu ya kumalizia hasira zako kwa wananchi.
Hii ni kupotezeana muda tu.Kwani wakati mauaji ya raia yanafanyika wao hawakuwepo nchini.
Waache upuuzi maiti walizozika kqenye makaburi ya haiki wakafukue kuhoji maiti.
Magari makali, masuti nini. Lakini wengi ni weupe ajabu, hii nchi kutopiga hatua sio bahati mbaya. Hakuna namna ndio wengi tulionao.Huwa naangalia maofisa wenye nafasi za kimamlaka huko maofisini wanavyotuna na kuongea na kutembea kwa mbwe mbwe naishia kusema.......Hiiiiiiiiii! 😂