PostGE2025 Jaji Chande anatoa ONYO kama nani, asifikiri enzi hizi ni sawa na enzi zao

PostGE2025 Jaji Chande anatoa ONYO kama nani, asifikiri enzi hizi ni sawa na enzi zao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.😂
Braza hii kamati sijui tume batili haichunguzi mauwaji, inachunguza mzizi wa maandamano ambazo wewe wanaziita VURUGU
 
Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea.

Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa za posho na amekubali kuaibishwa na GenZ, basi aendelee na vitisho hata heshima ndogo aliyostaafu nayo itapotea.

Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.

View attachment 3521332
Huyu mzee naye fala nini? Kama anataka picha si aingie gugu!
 
Angeanza na aliyemteua ambaye ni haramu na pia amekuwa akitoa matamko ya kuelekeza Nini tume wafanye
 
Back
Top Bottom