PostGE2025 Jaji Chande anatoa ONYO kama nani, asifikiri enzi hizi ni sawa na enzi zao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama una ushahidi mtumie Jaji Chande. Shahidi utalindiwa faragha yako.
 
Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa za posho na amekubali kuaibishwa na GenZ, basi aendelee na vitisho hata heshima ndogo aliyostaafu nayo itapotea.

Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.

View attachment 3521332
Huyu si aingie JF atapata kila kitu.
 
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.😂

Mbaga Jr
 
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Magari makali, masuti nini. Lakini wengi ni weupe ajabu, hii nchi kutopiga hatua sio bahati mbaya. Hakuna namna ndio wengi tulionao.

Ila wao wanajuana sana tu, kwamba kuna lenzetu zero kabisa ila limeshika kitengo kikubwa.
Mapoyoyo mengi yaliyo na nafasi za juu wanatumia ndumba na wengine ni kubebwa!
 
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.😂
Nakwambia huyu naye ku@#!!)$(/#@%®✓=°¢¥ma@#_&+;';#+mayezake ( wanaudhi mpaka mtu unasema usiyotakiwa kuyatamka)
 
Yuko sahihi ila kwa Hali iliyoko sasa , karibia kila maamuzi ya serikali yanakosa uhalali.
 
Kukutwa picha hizo itakuaje kosa la uhaini? Sheria ya wapi hii? Mapicha yenyewe yapo mitandaoni ya kumwaga! Hii tume nayo ni kama imekataliwa tu, naona inakosa ushirikiano toka kwa waathirika wa tukio lile. Hii tume inaweza ikaja na abrakadabra katika ripoti yake, maana imekosa ushirikiano
Labda waifute U tube maana picha zote zipo humo.
 
Back
Top Bottom