PostGE2025 Jaji Chande anatoa ONYO kama nani, asifikiri enzi hizi ni sawa na enzi zao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama una ushahidi mtumie Jaji Chande. Shahidi utalindiwa faragha yako.
 
Huyu si aingie JF atapata kila kitu.
 
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.😂

Mbaga Jr
 
Magari makali, masuti nini. Lakini wengi ni weupe ajabu, hii nchi kutopiga hatua sio bahati mbaya. Hakuna namna ndio wengi tulionao.

Ila wao wanajuana sana tu, kwamba kuna lenzetu zero kabisa ila limeshika kitengo kikubwa.
Mapoyoyo mengi yaliyo na nafasi za juu wanatumia ndumba na wengine ni kubebwa!
 
Kwanza polisi ilisema ukikutwa na picha za mauaji ya Mo29 ni kosa la uhaini, leo anataka kulazimisha watu watume picha ili wakamatwe.😂
Nakwambia huyu naye ku@#!!)$(/#@%®✓=°¢¥ma@#_&+;';#+mayezake ( wanaudhi mpaka mtu unasema usiyotakiwa kuyatamka)
 
Yuko sahihi ila kwa Hali iliyoko sasa , karibia kila maamuzi ya serikali yanakosa uhalali.
 
Labda waifute U tube maana picha zote zipo humo.
 
Sasa kama tume iliundwa kabla tukio unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…