Jaji Chande azungumza na Wanahabari Aprili 28, 2026

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
524
Reaction score
829
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.

Screenshot_20260428-080153.jpg
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari kufafanua zaidi mambo yaliyopo kwenye ripoti hiyo.

Fuatilia mubashara
View: https://www.youtube.com/live/IsFtEA4qBwQ?is=s94FcwUYJ8TWZfOA
 
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.View attachment 3580574
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari kufafanua zaidi mambo yaliyopo kwenye ripoti hiyo.
katika kukusanya habari zako zake za tume anakataa kuwa live afu mwishoni unataka uwe mubashara kwa uliowakatalia kukufatilia live apo mwanzon....!
 
Anachotaka kusema ni nini zaidi ya alichokiwasilisha? Labda kama atawaambia wananchi kuwa alichokiwasilisha sicho kilichoandaliwa awali! kimefanyiwa editing. Ila aangalie sana asiwaudhi wananchi wanaotaka kujua ukweli wa sakata lile
 
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.View attachment 3580574
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari kufafanua zaidi mambo yaliyopo kwenye ripoti hiyo.
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli
 
Hivi kuna mwanahabari anaweza kumuuliza maswali magumu huyu mzee maana sion huo uhuru na mwandishi anaweza kuuliza maswali kuntu yenye msingi #Mweupekamanywelezake
 
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli

Unajua maana ya kuweka watu 500 sehemu moja wewe? Utakua bado unaishi kwa shemeji yako abuduli
 
Back
Top Bottom