Jaji Chande azungumza na Wanahabari Aprili 28, 2026

Jaji Chande azungumza na Wanahabari Aprili 28, 2026

T U F A N Y E J E
Tupambane
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Pascal Mayalla naomba utusaidie kumuuliza chande bw Polepole & Mdude walitekwa kwa ajili ya ishu gani za mapenzi??.
 
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.

Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari kufafanua zaidi mambo yaliyopo kwenye ripoti hiyo.

Fuatilia mubashara
View: https://www.youtube.com/live/IsFtEA4qBwQ?is=s94FcwUYJ8TWZfOA

Anawashwa puru huyo
 
Back
Top Bottom