Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Ni nini anataka sema tena na walishatoa report ya kikudaJaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.View attachment 3580574
Ngoja tumsikieNi nini anataka sema tena na walishatoa report ya kikuda
Legacy ishachafuka Mzee kaghadhibika ameona ngoja arudi kuichafua zaidi Legacy yake aliyoijenga muda mrefuNi nini anataka sema tena na walishatoa report ya kikuda
katika kukusanya habari zako zake za tume anakataa kuwa live afu mwishoni unataka uwe mubashara kwa uliowakatalia kukufatilia live apo mwanzon....!Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.View attachment 3580574
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari kufafanua zaidi mambo yaliyopo kwenye ripoti hiyo.
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirikaJaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.View attachment 3580574
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari kufafanua zaidi mambo yaliyopo kwenye ripoti hiyo.
Hivi kuna mwanahabari anaweza kumuuliza maswali magumu huyu mzee maana sion huo uhuru na mwandishi anaweza kuuliza maswali kuntu yenye msingi #MweupekamanywelezakeMifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli
Utetezi ama utelezi zaidi...!Ufafanuzi zaidi
Anaweza asifike hiyo siku akaenda kwingine kufanya ishu zingineSi angetulia tu! Au kuna ripoti nyingine alisahau kuisoma?
Mbali sanaWatanzania tuvumilie, hatuna namna,2030 sio mbali.