T U F A N Y E J EM
Mbali sana
TupambaneT U F A N Y E J E
HAHA, au Maelezo.Utetezi ama utelezi zaidi...!
Anawashwa puru huyoJaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari kufafanua zaidi mambo yaliyopo kwenye ripoti hiyo.
Fuatilia mubashara
View: https://www.youtube.com/live/IsFtEA4qBwQ?is=s94FcwUYJ8TWZfOA