PostGE2025 Jaji Chande: Hatujapewa muda wa ziada ili kuchakachua ripoti ya vurugu za uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti yake.

Akizungumza, Jaji Chande alisema sababu za kuomba kuongezewa muda wa siku 21 ni pamoja na ukubwa na uzito wa kazi, pamoja na ushahidi uliochelewa kuwasilishwa kwa Tume. Pia alieleza kuwa ripoti hiyo inapaswa kuandaliwa kwa lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza.

Aliongeza kuwa awali Tume ilipanga kufanya uchunguzi katika mikoa sita, lakini ililazimika kupanua wigo na kufikia mikoa 12 ili kupata taswira pana ya matukio hayo.

“Tumekuwa tukichambua tofauti za matukio kati ya maeneo mbalimbali, kwa mfano kwa nini Arusha kulikuwa na ghasia kubwa wakati Kilimanjaro Region hali ilikuwa tofauti, au kwa nini Zanzibar kulikuwa na utulivu huku Dar es Salaam kukiwa na ghasia licha ya ukaribu wa maeneo hayo,” alisema.

Jaji Chande alisisitiza kuwa lengo la Tume ni kuhakikisha ripoti yake inaakisi ukweli na inawapa haki waathirika wa matukio hayo. Aidha, alisema Tume imependekeza maridhiano kama njia ya kurejesha mshikamano na umoja wa kitaifa katika Tanzania.

Cheko la kinafiki kama mzee wa Msoga huku moyo umejaa visasi
 
Maelezo meeeengiii utafikiri kuna la maana
 
Tume ya ulaji tu hiyo. Hivi inahitajika uwe na akili kiasi gani kugundua chanzo kikuu cha yale machafuko ya Oktoba 29, 2025?

1. Wananchi wanataka mabadiliko ya kweli kwenye mfumo mzima wa uchaguzi! Na hii ni baada tu ya kuchoshwa na matukio yasiyoisha ya wizi wa kura na pia kuenguliwa kwa hila kwa wagombea wao, wewe unakataa kufanya mabadiliko ili uibe vizuri!

2. Kiongozi mkuu wa upinzani anawahamasisha hao wananchi kuzuia zoezi la huo uchaguzi wa hovyo mpaka mabadiliko ya kweli yafanyike kwenye mfumo wetu wa uchaguzi! badala ya kukaa naye meza moja ili mfikie muafaka! Wewe unamfunga kwa kesi ya mchongo!

Halafu siku ya siku yanatokea machafuko nchi nzima! Eti unamtafuta mchawi! Hivi kuna watu wanaishi dunia tofauti na hii ya kwetu, au?
 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti yake.

Akizungumza, Jaji Chande alisema sababu za kuomba kuongezewa muda wa siku 21 ni pamoja na ukubwa na uzito wa kazi, pamoja na ushahidi uliochelewa kuwasilishwa kwa Tume. Pia alieleza kuwa ripoti hiyo inapaswa kuandaliwa kwa lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza.

Aliongeza kuwa awali Tume ilipanga kufanya uchunguzi katika mikoa sita, lakini ililazimika kupanua wigo na kufikia mikoa 12 ili kupata taswira pana ya matukio hayo.

“Tumekuwa tukichambua tofauti za matukio kati ya maeneo mbalimbali, kwa mfano kwa nini Arusha kulikuwa na ghasia kubwa wakati Kilimanjaro Region hali ilikuwa tofauti, au kwa nini Zanzibar kulikuwa na utulivu huku Dar es Salaam kukiwa na ghasia licha ya ukaribu wa maeneo hayo,” alisema.

Jaji Chande alisisitiza kuwa lengo la Tume ni kuhakikisha ripoti yake inaakisi ukweli na inawapa haki waathirika wa matukio hayo. Aidha, alisema Tume imependekeza maridhiano kama njia ya kurejesha mshikamano na umoja wa kitaifa katika Tanzania.

Maridhiano ni secondary. First and foremost tunataka accountability.

Kuiweka hiyo report katika lugha mbili au zaidi haihitaji hata robo siku!
 
Mtu mweusi ana matatizo sana.
Ndo mana mpaka Leo Bado anaumwa kipindupindu
Upige watu risasi
Utoa ToRs
Kisha usingizie wengine?
Ijumaa ving'ora msikitini?
 
Back
Top Bottom