PostGE2025 Jaji Chande: Mashahidi walikiri kupewa simu maalum kurekodi picha za maiti, na kupiga picha na magari ya polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Your browser is not able to display this video.

Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio.

kama vile majeruhi na vifo au kupiga picha jirani na magari ya jeshi la ulinzi sambamba na picha za maeneo mbalimbali ya fanya ghasia waliokuwa wamefanikiwa kufanya uratibu na kisha picha hizo na video zote hizo kurusha moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii ili kuibua hasira za wananchi na kuwahamasisha nao wajitokeze kufanya hasira kwa vile waliaminishwa kwamba jeshi la Tanzania liko upande wao. Jaji Chande
 
Na TISS hawakuwahi kujua hii kitu hata siku moja
 
Hao waliokuja mbele ya tume na kukiru kufanya Fuji kwanini wasipelekwe mahakamani?
 
Ndiyo maana mliacha mahojiano ya public yaliyohusisha journalists ili mpike uongo wa kitoto, polisi ilikamata watu randomly mbona hili hawakuwahi kulisema.
Wewe Chande kula malipo uliyepewa ila damu za Watanganyika zitalipwa in one way or another.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…