Jaji chande: Sababu za waliotekwa ni za nje ya siasa

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,969
Reaction score
27,446
Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
 
Sijui Polepole anaangukia kwenye sababu ipi hapo juu tukiachana na Mdude ambaye mapenzi kwake ilikuwa sawa na mbingu na ardhi...
 
Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
Faki zati sonofabitch!
 
Sababu alizopewa na polisi kwani ndizo huzitumia.
 
Huyu Mzee na tume yake wana Lundo la mavi humo vichwani mwao.

Wamewapa watu mchongo ili wakimbie madeni. Siku zijazo watu wengi sana watapotezwa au kujipoteza ili waepuke kulipa madeni Yao.
Kwa sasa watu wajipange kula fedha zitazo lipwa Kama fidia kutokana na matukio ya Oct 29. Raisi kazitaja billion zaidi ya 100 na hili litaongezeka kuwa matrillioni.
Yote kwa yote, Chande kawatengezea mchongo wa ulaji huko serikali na wananchi wachache watakayo iona hiyo fursa na kuichangamkia kwa kisingizio cha kuathirika na Oct 29.

Pumbaf waheed wote walioshiriki kuandaa report feki.
 
Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
Hapa ndiyo amesema uongo 100%, kwa nini watekwe wanachadema tu. Mzee mpuuzi sana.
 
Halafu hilo nyang'au siku likifa watu wakishangilia tuambiwe sio tamaduni zetu kushangilia misiba?

Kwahiyo hawa watu walipotea kwa sababu za kimapenzi, madeni, na ushirikina?
20260422_054341.jpg
 
Back
Top Bottom