Sijui Polepole anaangukia kwenye sababu ipi hapo juu tukiachana na Mdude ambaye mapenzi kwake ilikuwa sawa na mbingu na ardhi...Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
Mwamba umenichekesha ile mbaya huwa najiuliza hivi kwanini hawa jamaa hawana chembe chembe za aibuSijui Polepole anaangukia kwenye sababu ipi hapo juu tukiachana na Mdude ambaye mapenzi kwake ilikuwa sawa na mbingu na ardhi...
Faki zati sonofabitch!Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
Sababu alizopewa na polisi kwani ndizo huzitumia.Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
Hapa ndiyo amesema uongo 100%, kwa nini watekwe wanachadema tu. Mzee mpuuzi sana.Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.