PostGE2025 Jaji Chande: Serikali itenge Siku ya Maombolezo ya Kitaifa kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume imewasilisha mapendekezo mbalimbali ya muda mfupi, wa kati na mrefu, huku akisisitiza kuwa hakuna pendekezo lolote linalopendekeza kuanzishwa kwa taasisi mpya.

Amesema "Tume inawasilisha mapendekezo mbalimbali yakiwemo ya muda mfupi, muda mrefu na muda wa kati. Kwa minajili ya uwasilishaji huu, naomba tu nieleze baadhi ya mapendekezo hayo, lakini hakuna pendekezo ambalo linapendekeza kuanzishwa kwa taasisi mpya."

Ushenzi, wawajibishwe waliobusika. Nani aliwapiga risasi
 
Back
Top Bottom