TANZIA Jaji John Utamwa afariki Dunia

TANZIA Jaji John Utamwa afariki Dunia

Kifo ni funzo kwa binadamu mwenye akili na mwenye hofu ya Mungu.

Tendeni haki kwa uadilifu kwani iko siku nanyi mtaulizwa na kujibu mashitaka mbele ya muumba, watendeeni walio chini yenu haki, acheni uonevu na kuwanyanyasa walio chini yenu.

Jana alikiwa anahukumu binaadamu wenzake leo hii naye yuko mbele za Mungu anamjibu hoja.
 
Back
Top Bottom