PostGE2025 Jaji Juma: Baada ya Ripoti Kutoka, tumepokea simu za matusi zaidi ya 300

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matudi zaidi ya 300
Na bado huo ni mwanzo tu hawawezi kuwafanya watu milioni wote ni wajinga,kifupi tu wajue hatudanganyiki.
 
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.
Ukiwaza kuhusu majaji unajiuliza hivi hizi Kesi wanazoamua Kuanzia wakiwa vijana hadi wamekuwa wazee wameumiza watu wangapi?
 
Nemo judex in causa sua
Meaning: Nemo judex in causa sua is a legal phrase that means "No one can be a judge in their own case." It asserts that a person should not have a role in adjudicating a case in which they have a personal interest.
Explanation: This principle is crucial to prevent bias and conflicts of interest in decision-making. It ensures that decisions are made impartially, without any personal benefit or prejudice. If a person has a direct stake in the outcome of a case, they should not be in a position to make a decision about it, as this could lead to unfair or biased judgments.
Example: If a judge is directly involved in a case (for instance, if they are a party in the case or have a financial or personal interest in the outcome), they should not be allowed to rule on that case. For example, a judge with a personal connection to one of the parties should recuse themselves to avoid any appearance of bias or conflict of interest.
Hii tume imedharauliwa sana kwa kuegemea upande wa wahusika na kuwatetea wahuaji wa watanzania wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…