PostGE2025 Jaji Juma: Baada ya Ripoti Kutoka, tumepokea simu za matusi zaidi ya 300

PostGE2025 Jaji Juma: Baada ya Ripoti Kutoka, tumepokea simu za matusi zaidi ya 300

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.

Ripoti ya kiseng3 kama ile walidhani watapokea pongezi? Ogeni matusi qumamao zenu!
 
Nemo judex in causa sua
Meaning: Nemo judex in causa sua is a legal phrase that means "No one can be a judge in their own case." It asserts that a person should not have a role in adjudicating a case in which they have a personal interest.
Explanation: This principle is crucial to prevent bias and conflicts of interest in decision-making. It ensures that decisions are made impartially, without any personal benefit or prejudice. If a person has a direct stake in the outcome of a case, they should not be in a position to make a decision about it, as this could lead to unfair or biased judgments.
Example: If a judge is directly involved in a case (for instance, if they are a party in the case or have a financial or personal interest in the outcome), they should not be allowed to rule on that case. For example, a judge with a personal connection to one of the parties should recuse themselves to avoid any appearance of bias or conflict of interest.
Hii tume imedharauliwa sana kwa kuegemea upande wa wahusika na kuwatetea wahuaji wa watanzania wasio na hatia.
Hii ni tume ya kiqumer sana na inetoa mojawabu ya kiqumer ili kuwalinda qumer walioondoa roho za mamia ya watanganyika wasiokuwa na hatia.
 
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.

Watukanwe tu kwa sababu hawataki kujiheshimu
 
Back
Top Bottom