PostGE2025 Jaji Juma: Baada ya Ripoti Kutoka, tumepokea simu za matusi zaidi ya 300

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walio watukana wamewaheshimu sana...mnastahili zaidi ya hayo...watu mnaizamisha nchi kwenye machafuko mnastahili nn unafikiri.....ninachojua mlichokichqgua ndo kitawapata mapema...mmechagua kuzika haki za watu na nyie amani ma haki hamtaipata
 
Walistahili matusi na waliotukana wako sawa kabisa.

Maana Msigwa aliwaita watu Nguchiro na kudai waliompongeza ni 99%
 
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.

Waliamua kufanya kazi gizani ili waje watuletee maoni yao binafsi badala ya factual findings.
 
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.

Hivi hii tume baada ya kukabidhi ripoti nilitarajia ifikie ukomo... Lakini kila siku wapo kwenye media
 
Wazee mlipata ushindi mnono na sifa nzuri kwenye utumishi wenu mmekuja kupigwa comeback muda wa nyongeza mmealibu kila sifa yenu,watu mmeshazeeka bado mnafanya dhambi za uongo tena kwenye mic na camera
 
Inawezekana hayo matuzi zaidi ya mia 3, wamepunguza pia siyo kamili
 
Hoja za watu wenye Elimu kubwa na sifa kubwa kubwa hizo.
Unaambiwa waliosoma ndio hoja zao hizo.
 
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.

Wajinga kabisa nyie. Mnafanya mambo ya hovyo kutetea watawala kisa fedha,huku watanzania wenzetu wameuawa kikatili na kufuliwa kama mizoga.
 
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.

Safi sana kinachofuata mtapokea ngeu, wazee msiojiheshimu nyie.
 
Back
Top Bottom