Baba Bennetty
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 304
- 208
Nayo wamepunguza kama ile nyingine.... 🤣 Hakuna wanachoshindwa.... Fisimaji.....300!!! mbona idadi ndogo sana.
Waliamua kufanya kazi gizani ili waje watuletee maoni yao binafsi badala ya factual findings.Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.
Kama ulikuwemo kichwani mwangu!😅Nayo wamepunguza kama ile nyingine.... 🤣 Hakuna wanachoshindwa.... Fisimaji.....
Hivi hii tume baada ya kukabidhi ripoti nilitarajia ifikie ukomo... Lakini kila siku wapo kwenye mediaAkiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.
Nabado watatukanwa sanaa
matusi pia ni maoni ya mtuAkiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.
Kwanini wasitukanwe kama wanaona Watanzania ni mazezeta?Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.
Wajinga kabisa nyie. Mnafanya mambo ya hovyo kutetea watawala kisa fedha,huku watanzania wenzetu wameuawa kikatili na kufuliwa kama mizoga.Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.
Safi sana kinachofuata mtapokea ngeu, wazee msiojiheshimu nyie.Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.