Uchaguzi 2020 Jaji Kaijage ana nafasi nzuri ya kutengeneza historia na hata kupendekezwa kugombea Tuzo ya Amani ya Nobel

Uchaguzi 2020 Jaji Kaijage ana nafasi nzuri ya kutengeneza historia na hata kupendekezwa kugombea Tuzo ya Amani ya Nobel

Hakika.....Mama Yetu Kutoka Nchini Kenya.

Mkuu Lakini Kama sikosei Tunamhusisha Jaji Kaijage na TUZO juu ya HAKI AMANI NA MARIDHIANO wakati wa mchakato wa Uchaguzi na Kipindi Cha Matokeo.....
Noted...!!!
 
Naunga mkono hoja ya Nobel
Mkuu mnakuza Sana....

Kwa AMANI GANI ILIYOWAPOTEA watanzania?!!!!

Kwa CHUKI GANI Iliyokuwepo kufikia watanzania Kuchinjana?!!!!

Wamechinjana Wangapi Mpaka Sasa?!!!

Kumekuwa Na Hofu Gani Kuu Mpaka Sasa Kufikia ASKARI KUCHINJWA huko vichochoroni?!!!

Waumini kulipuliwa Misikitini Na Makanisani?!!!!!

Wanasiasa MNALIKUZA KIKIKI...😁😁😁

Amani Kaka!!
 
Mkuu mnakuza Sana....

Kwa AMANI GANI ILIYOWAPOTEA watanzania?!!!!

Kwa CHUKI GANI Iliyokuwepo kufikia watanzania Kuchinjana?!!!!

Wamechinjana Wangapi Mpaka Sasa?!!!

Kumekuwa Na Hofu Gani Kuu Mpaka Sasa Kufikia ASKARI KUCHINJWA huko vichochoroni?!!!

Waumini kulipuliwa Misikitini Na Makanisani?!!!!!

Wanasiasa MNALIKUZA KIKIKI...[emoji16][emoji16][emoji16]

Amani Kaka!!
Jumbe hebu tujielimishe kidogo

The Nobel Prizes were created by Alfred Nobel for promoting outstanding achievements in physics, chemistry, physiology or medicine, literature, and for work in peace. In his will, he dictated that most of his fortune should be used for prizes to those who, during the preceding year, shall have conferred the greatest benefit to mankind....!!!
 
Wapinzani watakapofikia hatua ya kusubiri huruma ya Jaji Kaijage huo ndo utakua mwisho wa mchezo.
 
Back
Top Bottom