Mkuu mnakuza Sana....Naunga mkono hoja ya Nobel
Jumbe hebu tujielimishe kidogoMkuu mnakuza Sana....
Kwa AMANI GANI ILIYOWAPOTEA watanzania?!!!!
Kwa CHUKI GANI Iliyokuwepo kufikia watanzania Kuchinjana?!!!!
Wamechinjana Wangapi Mpaka Sasa?!!!
Kumekuwa Na Hofu Gani Kuu Mpaka Sasa Kufikia ASKARI KUCHINJWA huko vichochoroni?!!!
Waumini kulipuliwa Misikitini Na Makanisani?!!!!!
Wanasiasa MNALIKUZA KIKIKI...[emoji16][emoji16][emoji16]
Amani Kaka!!