Kama ndivyo wewe unataka kuniambia kuwa yeye aliyekuja na sera ya elimu bila malipo haitatui changamoto ya wajinga,na sera ya kupata umeme uoni kuwa itasaidia kupunguza gharama ya uzalishaji ivyo kupunguza gharama za manunuzi,na uoni mtazamo wake wa ufufuaji viwanda utakuza ununuzi wa mazao nchini,na kuhusu Uhuru upo ndio maana zamani kipindi cha kikwete na maraisi wengine walikuwa wanawazuia watu kutoa hoja au malalamiko kwenye ziara zao lakini magu anaruhusu watu kusikilizwa na kutoa ushauri tofauti na uhuru wanaouzungumzia watu wengi wa kutukana kubeza na kufanya mambo ambayo hayawezi kuleta tija kwa jamii na wakati mwingine yanavuruga maadili katika jamii,tukisema turuhusu vijana wafanye watakayo tutapotea kwa kuwa uelewa wetu wa mambo ni mdogo kumbuka jamii nyingi nchini wazazi wao hawajasoma na elimu uanzia nyumbani sasa kama ,leo tunajaribu mpaka kuwashtaki wazazi kwa kutopeleka watoto shule je?itakuwaje pale mtoto huyu ambaye hapendi shule,wenzetu wanamiaka 200 nyuma ya vizazi vilivyopata elimu sisi hiki ni kizazi cha tatu ambacho ukiangalia takwimu wazazi wa watoto wanaosoma leo darasa la kwanza kati ya 10 wenye elimu ya secondary ni 04 maana yake huyu mzazi hawezi kumfanya mtoto akajifunza kupitia kwa wazazi ni wachache sana watakaopata mimba wakatamani kuendelea kusoma na wachache watakaofeli watatamani kurudia masomo hivyo bado tunaitaji vizazi 06 kukamilisha mzunguko wa jamii yenye uelewa,mfano unaweza kumshauri mwanao madhara ya ngono akiwa tu anafahamu madhara yake na umuhimu wa maisha yake lakini leo hii fuatilia dada zetu wanaojiuza utakuta wote waliacha au walikataa shule,wasanii,madereva,na wengi wanauelewa mdogo wa maisha ya kitaaluma na mipango mizuri ya maendeleo,maendeleo ya kweli yanaanzia kwenye vitu watu wanaraisishiwa maisha kupitia vitu,ila mtu akiwa na njaa maana yake atafute chakula na si chakula kimtafute yeye,misri wao ni jangwa lakini leo kupitia vitu miundombinu wanazalisha sio uhuru wa kuongea,tunatumia nguvu nyingi kuongea sana kuliko matendo sasa tumepata mtendaji mnalilia uhuru,magu anaweka mlango wa kutokea mfano:tungekuwa na viwanda vya nguo na vingine vingi tungeweza kununua bidhaa za wakulima hapa nchini alafu wale wanaohitaji hizo bidhaa wa nje wangenunua kwa bei ya juu sasa ukitegemea mteja kutoka nje ndio masharti yanakuwa mengi sana,ujenzi wa majengo mengi ya serikali kwenye nchi hii sasa yanajengwa kwa ubora na bei harisi na yanajengwa na wazawa anataka tusiwe tegemezi tufanye kila kitu wenyewe ili mali zianze kuwa na soko ndani kwanza .