Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania


Nakubaliana na wewe mkuu. Ishu ya kawaida watu wanaifanya ya kidini au ya kisiasa. Mbona huko nyuma waislamu hawajawahi kulalamika kutokuwa na na jaji mkuu muislamu? Mimi mkristo lakini hii style ya kujadili mambo kidini inanikera sana. Na hawa watu wanaopiga kelele juu ya huyu jaji hawajawahi kusoma hata hukumu moja ya huyo jaji. Huyu jaji kwanza alikuwa kule east timor akiwatetea wakatoliki dhidi ya waislamu wa Indonesia. Kabla ya kupiga kelele katafute kesi zote alizozitolea huku huyu jaji tokea akiwa hakimu, jaji wa mahakama kuu na na jaji wa mahakama ya rufaa halafu compare na kesi za hao waliotemwa then come back. Vipi angechaguliwa Profesa Issa Shivji kuwa jaji mkuu bado mmgepiga kelele kuwa sio mkristu? Hivi karibuni forum imezidisha udini mpaka inaboa.
 

Akili ya jagi ndio inayokufanya uhisi kuwa mmoja anyimwe haki yake kwavile mwengine ameshapata? Mbona nyadhifa mbili hizi ni vitu tofauti kabisa . Hebu tupe mfano wa kuonyesha muingiliano wa kazi mbili hizi?
 

waIslam ndio waliowaingiza mjini, huyo Nyerer wenu waIslam wa Dar Es Salaam ndio waliomfundisha kuvaa suruali, for your information, alikuja na kaptura hapa!

Ufisadi na wizi si katika tabia na mafunzo ya kiIslam, tazama mkapa alivyofisadi, nadhani hakuna katika watu waliofurahia Nyerere kufa zaidi ya Mkapa. Duhh, baada ya kufa Nyerere tu, he ascended from rugs to riches. Leo tunaona huyu Rais muIslam akifichuwa mafisadi mpaka nanyi mnapata sauti ya kusema< mliyaona haya wakati wa Nyerere au Mkapa?
 
Unajuwa umeshapayuka sana lakini hadi sasa bado hujatuonyesha nani alifaa badala yake na kwa sababu gani? Ulianzia na udini na sasa unaninginia juu ya TISS. Iwapo mwenye sifa kuliko wengine ni huyo unashindwaje kujua kuwa hata wewe ungekuwa huyo Othman usingekuwa na la kufanya iwapo taratibu zetu zinampa haki ndugu yako. CHUKI ZA UDINI ZINAKUSUMBUWA tu!
 

Mkuu kama Director wa TISS ni ndugu wa damu na CJ(kama data ni sahihi) huoni kuwa wakati wa kupendekeza sifa za nani anayefaa kati ya hao watatu kunaweza kukawepo kwa fikra za upendeleo??...........ila hil;i limepita na litufumbue mamcho tuweke sheria zetu vizuri..........ina kuan umuhimu wa kurekebisha seria/katiba ili nafasi kama hii ingekuwa inapitishwa na bunge kwa kura baada ta kuwa imekwishakujadiliwa na kamati ya sheria na katiba ya bunge
 
I hope umejumlisha na idadi yote ya baraza la wawakilishi. Hawa nao wanatumia resources za Tanzania maana Tanzania ni moja licha ya vikorombwezo vya maneno ya kisiasa
nahisi kuna kitu JK anakismell mbele ya safari!
issue sio idadi ila ni influencial posts.....President,VP,vingunge wa ZNZ,makamba hiyo moja ila cha zaidi ni hiki....
waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani,mkuu wa usalama wa taifa,waziri wa fedha,jaji mkuu,mkuu wa polisi.....
inasemekana hata mkuu wa majeshi aliyepo anastaafu soon, i can guess who is prepared for the post....

Live long Tanzania,viva Tanzania!!!!
 

Mkuu hapo umenena but kwasasa kila kitu kimefanyika by the book and as far as I am concerned hakuna kosa limefanyika zaidi ya watu kuleta hisia zao zisizokuwa na msingi kaka. Kiubinaadamu naweza kukubaliana they may be a conflict of interest but tukiwa hivyo mkuu tutakuwa tunadharau sheria na misingi ya kazi iliyowekwa. Let us give them a chance rather than keep complaining.
 
Julius Nyerere alipomchagua mdogo wake Joseph kuwa waziri haikua dhambi?
FYI Othman wa Usalama wa taifa hana uhusiano wowote ule kindugu na huyu jamaa.
Nikionacho ni upumbavu wako wa hali ya juu na utepetaji wa kimawazo na busara.
Tafuta pengine pa kuweka uozo wa fikra kama huo...

Kama hoja ni ya udugu tu, where were you when the Bomanis walikuwa mawaziri na Attorney General? Asha Rose Migiro alikuwa waziri na dadake mkubwa aliyemlea PS wake?? na wengineo wengi tu....
Hao wote hawajateuliwa na JK.. the precedent had been set, but I smell a totally different slant from the issue ya wandugu kuchaguliwa into sensitive posts. As I said before.... hawana undugu wowote hawa jamaa. I KNOW for a fact.
 

Watu wanafikiri idadi ina maana. JK is very strategic katika kutoa post na wizara. Halafu watu wajinga wanasema wakristu ni wengi. Wengi gani wakati wizara na idara zote muhimu wanapeana misikitini? By the way hiyo ilikuwa ni zawadi ya Christmas mlitaka nini zaidi zaidi ya kuthibitishwa kifuatacho "ITV"?
 
kikwete ndiyo anachochea udini angalia sasa raisi makamu wake waziri wa ulinzi,mambo ya ndani,waziri wa fedha watu wote wa dini moja aoni aibu
Na kwa kikomo cha uelewa wako hizo ndio nafasi pekee katika Serikali. Nikukumbushe tu kuwa kabla ya mawaziri kuna Waziri Mkuu. Nae ni Muislamu kwa ni mkewe ni Muislamu!
 
Kwa wengi wa Watanzania hatuna shaka . Wewe unaefikiri kuwa jina ndio linalokaa darasani endelea na fikira zako akili ni nywele.
 

Rostam Aziz, Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Nazir Karamagi, Jakaya Kikwete, Yusufu Manji,, Subhash Patel, Je hawa nao ni Wakristu? ,
 
Rostam Aziz, Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Nazir Karamagi, Jakaya Kikwete, Yusufu Manji,, Subhash Patel, Je hawa nao ni Wakristu? ,
Ongeza pia: Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi. Hussein Mwinyi na Kigoma Malima.
 
Kwa bahat mbaya kila uteuzi hapa kwetu unapitia process hiyohiyo hivyo kwa hili wewe baki na conflict of intrest zako na ngangania hapo hapo hata kama haikupeleki pahla!
 
Ongeza pia: Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi. Hussein Mwinyi na Kigoma Malima.

Chuki tu zimewajaa na wivu sasa ndio mnareveal your true colours. Zamani mlikuwa mnajifanya critical thinkers but now your true colours zinadhihirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…