Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

mawazo yako sio ya kizamani ila umehisi kitu ambacho kinaweza kuwa kweli au sikweli kutegemea na uaminifu wa hao watu waliafanya hili zoezi. Mtu anaweza kuafanya upendeleo usiofaa katika maamuzi si kwasababu tu huyo anayechaguliwa ni ndugu yake hata anaweza akawa rafiki yake, mpenzi wake au adui yake,,, sasa swala kujua kama kuna 'conflict of interest' inategemea uaminifu wa wahusika maana hapa kwetu watu wanahusiana katika mambo mengi,
 
Ifike mahali watanzania tusikubali dhana hii ya udini au ukabila ambayo imekuzwa sana wakati wa kampeni au baada ya uchaguzi. Hiki kitu hakikuwepo vichwani kwa watanzania walio wengi, lakini inaonekana kuna watu wana agenda ya siri ambao ama wanataka kitu hiki kiwepo au wanakiendeleza tayari kwa usiri.

Mheshimiwa Kikwete laiti kama utendaji wake wa miaka mitano usingekuwa na viulizo vingi hakuna mtu angeanza kuchokonoa na kufuatilia kwa nini amechaguliwa huyu na siyo yule na kwa nini huyu amepewa nafasi hii na si nyingine.

Kwenye michango yote niliyosoma hakuna mtu aliyetoa dosari ya uwezo wa Jaji Mkuu mpya wa kusimamia idara hiyo nyeti aliyopewa. Suala kuwa kaka yake anaweza kuwa ndo amechangia kwa yeye kupewa nafasi hiyo, naamini hakuna mwenye ushahidi huu, kuwa Jaji Othman ameteuliwa kwa sababu ndugu yake aliyeko TISS alisimama kidete kuhakikisha mdogo wake anapita.

Inawezekana kaka mtu anaweza kuwa alieleza wazi kuwa asihusishwe kwenye huo mchakato na ikabidi wapewe walioko chini yake kufanya huo mchakato ili hii influence tunayojadiri hapa isiwepo(Ni mawazo yangu tu kwani hakuna aliyeeleza jinsi hiyo veting ya TISS ilivyofanywa). Otherwise Othman aliyeko TISS hawezi kusema kuwa mdogo wake asiwe Jaji mkuu (Hata kama vigezo vyote ametimiza) eti tu kwa sababu yeye tayari ni bosi wa TISS.

Kuhusu kuingiliana kiutendaji kati ya TISS na Mahakama sina ujuzi sana hapa, may be wataalam wanaweza kutueleza zaidi, kwani uzoefu wangu ni kuwa ndugu wawili wanaweza hata kuajiriwa ofisi/shirika moja lakini kinachoepukwa ni kwa wao kuwa idara moja/same line of responsibility.

Nashauri tuepuke kabisa kuwachagua/kuwateua/kuwakosoa watu kwa dini/kabila zao, kwani kwa kufanya hivyo tutakuwa tunapandikiza kitu kibaya sana katika nchi yetu. Uwezo/uzoefu wa mtu ndivyo viwe vigezo vya mtu kupewa nafasi.
 
Ndio mkuu issue iko kwenye kuwasiliana na kufanya kazi pamoja (now hawa Jamaa being ndugu) huoni kwamba kaka mtu anaweza akainfluence decision za mwingine au vice versa..?????
Unataka tuamini kuwa Tanzania hakuna utawala wa Sheria?
 
Hivi hili suala la conflict of interests wewe halikutishi???????

Hilo swala lipo kila mahali, yaweza kuwa ndugu yako, rafiki yako, mpenzi wako, adui yako, class mate... huwezi kupata maamuzi hasa kwa hapo kwetu ikiwa wahusika hawahusiani kwa namna fulani
 
Nyie watu wa kijiweni.
HEAR ME OUT.

Hawa ma-Othman wawili HAWANA UDUGU WOWOTE....... Jamani ehhhh.

Wote ni wazawa wa Tanga, that's as far as it goes. And Judge Chande is far older than Rashid Othman wa TISS.
Yaani mnajaza pages and pages mnazungumza utumbo tu na vitu msivyovijua kabisaaaa.

Ama kweli nyie Watanzania wa leo ni kama vichaa wa Milembe..... wasting time arguing on something you hardly know about!

Na huyo reported wa gazeti ndio pumba wa mwisho, basi hafanyi hata kautafiti kidogo kabla ya kupublish such sensitive info?
 
JMK, unajuwa kweli kuwapandisha presha hawa jamaa, ndio wanavyotaka hivyo, maana wakati wa Mkapa alifikia kusema kuwa sisi ni mambumbumbu, waonyeshe kuwa mmoja wetu sawa na elfu wao.

Hivi, TUMEFIKAJE MAHALI HAPA nchi yangu Tanzania???

Kwani hunisikii? Nakuuliza ya hiviii, hayo maneno ya kwenye wino mzito mwekundu ni kwa ajili ya faida ya nani hapa nchini mwetu?

Misamiati hii inatoka wapi, au taifa tumelewa sote hakuna hata wa kumsaidie mwenzie tena??

Hakika, mara baada ya kupakikana KATIBA MPYA nchini, Tume ya Maridhiano la sivyo ...
 
Tunabishana na kilaza mmoja ambaye hajui hata maana ya confict of interest! Tunapoteza muda wetu bure. Haya ni matokeo ya system mbaya ya elimu ya Tz... watu wanasomea kushinda mtihani....
Kuwa sahihi1 Unabishana sio tunabishana!
 
Ni mtu mwenye akili zenye kuenea kwenye kizibo cha soda tu ndie anaweza asione walakini kwenye huu uteuzi!
Kwa suala la udini kwangu sidhani kama lipo ILA ni wehu wa hali ya juu kuwapa ndugu wawili (kama kweli ni ndugu kama inavyosemwa) nyadhifa sensitive kama hizi. i.e. Directore wa Usalama wa taifa na jaji mkuu. Inabidi bunge liingilie kati mapema sana kabla mambo hayajaharibika!!

Huo ni mtazamo wako tu, inaweza ikawa sivyo INATEGEMEA AKILI YA HAO WATU, ed millband na David milband wote walikuwa mawaziri katika serikali ya uingereza na wote waligombea uongozi kwa chama cha LABOUR.
 
Yaani unatumia wikipedia kudefine terms za kisheria? Nenda kasome vitabu vya sheria au tafuta mwanafunzi wa mwaka wa pili anayesoma sheria atakuambia tofauti ya hizo terms mbili. Au angalia baso hata policies za organisations kubwa wanatofautisha kati ya Bias and Conflict of Interest, eg Bias and Conflict of Interest - Residential Tenancy Policy. COI is a situation whilst bias is a perspective. Bias, not conflict of interest, is the enemy. Agrrrrrrrrr! Unanirudisha nyuma.

You might be right but not wholly! I hope you are not telling me that conflict of interest does not lead to bias? In reality people are interested in knowing if there is conflict of interest so as to be sure that there occurs no favoritism! I dont need to be a lawyer to link up conflict of interest and bias (also influence or favour)
 
Mkuu kama Director wa TISS ni ndugu wa damu na CJ(kama data ni sahihi) huoni kuwa wakati wa kupendekeza sifa za nani anayefaa kati ya hao watatu kunaweza kukawepo kwa fikra za upendeleo??...........ila hil;i limepita na litufumbue mamcho tuweke sheria zetu vizuri..........ina kuan umuhimu wa kurekebisha seria/katiba ili nafasi kama hii ingekuwa inapitishwa na bunge kwa kura baada ta kuwa imekwishakujadiliwa na kamati ya sheria na katiba ya bunge
Jee wewe umeona kuna sababu ya kukiuka huyu kati ya hawa watatu?
 
Nyie watu wa kijiweni.
HEAR ME OUT.

Hawa ma-Othman wawili HAWANA UDUGU WOWOTE....... Jamani ehhhh.

Wote ni wazawa wa Tanga, that's as far as it goes. And Judge Chande is far older than Rashid Othman wa TISS.
Yaani mnajaza pages and pages mnazungumza utumbo tu na vitu msivyovijua kabisaaaa.

Ama kweli nyie Watanzania wa leo ni kama vichaa wa Milembe..... wasting time arguing on something you hardly know about!

Na huyo reported wa gazeti ndio pumba wa mwisho, basi hafanyi hata kautafiti kidogo kabla ya kupublish such sensitive info?

"......Traditionally, it is the outgoing CJ, who recommends three people for appointment from amongst judges of the Court of Appeal to the President, who, in consultation with the National Intelligence and Security Service (TISS), makes his pick.

Insiders said that this time around, there was evident lobbying for the position, with different groups advancing various reasons, including age, and health status, in lobbying for the candidate of their choice.

Mr Justice Chande is currently a senior adviser to the United Nations on Human Rights. As a former chief of the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) Prosecutions and ex-prosecutor of East Timor's UN administration, he boasts rich international experience and exposure in the management of judicial affairs.

He is also said to enjoy good relations with some influential personalities in government. Mr Justice Chande is a younger brother of the current TISS director, Mr Rashid Othman.

Sources said judges Luanda and Bwana enjoy the backing of most of their colleagues in the Judiciary, have excellent credentials and track records, boosting their chances of catching President Kikwete's eye.

Mr Justice Luanda, who started his career as a resident magistrate in 1975, became the registrar of the Court of Appeal in 1997, during the reign of Chief Justice Francis Nyalali. He is said to have enormous experience in management.

He worked as a coordinator at the Judicial Institute at the Institute of Development and Management (IDM) at Mzumbe for eight years from 1990, before he became the registrar, was later appointed judge of the High Court and after a while, promoted to the Court of Appeal.

He is praised for steering Judiciary well, as the registrar at a time when there was little in terms of allocation of funds from the government.

He is currently the regional vice-president for the Commonwealth Magistrates and Judges Association (CMJA) for East, Central and Southern Africa.

He is described by his peers as hard-working and is liked by many, reportedly for not aligning himself to rival groups within the Judiciary. "His record is good. He has a clean sheet and is also a good researcher. Most of the other judges view him as a man who can overhaul the Judiciary, which is struggling to restore its reputation that has been tainted by corruption allegations," one of the sources said.

Mr Justice Bwana is also said to possess the qualifications needed for the post of CJ. He started his career as a junior judicial officer and later attained a PhD in law. He has also a reputation as a hard-working professional, who abhors delays in making decisions. Judge Bwarna is said to have won the confidence of the outgoing CJ.

He served as a judge of the Supreme Court of the Seychelles for five years from 1994, in a judicial exchange programme with Tanzania, but was later recalled.

Judge Bwana has been a judge of the Court of Appeal since 2008. He graduated from the University of Dar es Salaam and with a bachelor of law degree in 1974. He obtained his master's degree in Law in 1988, in Rome, and a PhD in 1992, also from Italy........"

Source: allAfrica.com: Tanzania: Three Tipped for Chief Justice Post
 
Da ndugu yangu nimejibu hii issue somewhere in between these 195 topics in short what I said ni kwamba mimi sijali mtu dini yake wala kabila... ila kuna issue ya conflict of interests baada ya kuangalia functions za Judiciary na Functions za Tiss... Mwisho nikatoa mfano wa TISS inakushika kwa Uhaini alafu Judiciary ndio inakuhukumu... This two sensitive positions kuwa na viongozi wakubwa wao ambao ni ndugu inaraise eyebrows.. (Kuna uwezekano wa mmoja kuinfluence decision ya mwenzake au vice versa)

Information zote na maswali yote nimejibu in between hizi posts...
Unataka kutwambia kuwa CJ lazima aiendeshe kesi ya Uhaini? Una maana TISS ndio prosecuter? Una maana usalama wa Taifa hauwezi kufatilia madhambi yanayofanywa kwenye Taasisi nyengine (ikiwa hivyo conficts of intrest iko kila pahala as far as TISS concerned.
Na kwanini anyimwe haki mtu eti nduguye yuko TISS? Mbona TISS kuna ndugu zetu na sie tunafanyakazi serikalini?
 
"Ifike mahala tuache kutia nyongo kila jambo linalofanywa na watawala. Nimesoma kwa makini wasifu wa Jaji Mkuu mpya Othman Chande. Inajitokeza waziwazi kwamba huyu ni mtu mwenye wasifu na sifa za juu kabisa katika maswala ya sheria na mahakama. Ana uzoefu wa hali ya juu kitaifa na kimataifa. Mamlaka ya uteuzi wangekuwa ni wajinga kama wangemuacha kwa sababu tu kaka yake ni Mkurugenzi Mkuu wa TISS. Tony Blair na Gordon Brown waliwahi kuwateua mtu na mdogo wake kuwa katika baraza la mawaziri. Juzijuzi Chama cha Labour kiliwapitisha mtu na kakake kugombea nafasi ya Kiongozi wa labour.

Ni ujuha na ujinga kumteua mtu kwa sababu ya dini, udugu, ukabila, n.k. Vilevile ni ujuha na ujinga wa kutisha kuacha kumteua mtu kwa sababu tu ndugu yake alishatangulia huko serikalini hata kama ana sifa. Haya mambo ya ku-balance kidini, kikabila, kidugu, kikanda na kimokoa ndiyo yanaletekeza mijitu mingine kuteuliwa kuwa mawaziri hata kama haina sifa ili wateuzi waonekane walizingatia mgawanyo wa kimkoa, kidini, kikabila, n.k. Kama mtu ana sifa basi ateuliwa, na kama hakuna mtu mwenye sifa kwa nafasi husika kutoka hiyo dini au kabila au mkoa basi na iwe hivyo. Si lazima kila dini au mkoa uwakilishwe katika nafasi za uteuzi.

Othman Chande, chapa kazi. Una nafasi ya kujitengenezea legacy ya pekee kwa kutoa msukumo muhimu ili hatimaye nchi yetu iwe na Katiba Mpya yenye kuzingatia misingi ya demokrasia na haki za binadamu."

THANKS KITILA.
 
Duh haya mambo ya udini naona yanashika kasi mpaka inatisha, jamaa kachaguliwa mwacheni afanye kazi. Kuhusu mchakato wa kumpata nimejaribu kumtafuta mmoja (an uncle) wa hawa majaji waliokuwa tipped for the job ili anieleze kuhusu process nzima ila sijampata, kwa hiyo siwezi kucomment zaidi. Otherwise namtakia jaji mkuu mpya mafanikio mema kwenye kazi yake.
 
kwahio,
kama 'silaha' angepata uraisi angeangalia, kabila, dini na rangi. Nadhani, au labda watu wengi humu wanataka kufanya maamuzi ya aina hio.

Jee ni vigezo gani watu wanaangalia? JK hata akichagua rafiki yake, kwenye dunia ya sasa, mambo ndio yanavyoenda. LOYALTY ni muhimu. Wale wafuasi na 'admirers' wa Nyerere humu ndani watakubali. Haya uwezo wake jee? uzoefu, utendaji huko nyuma. Lakini ndo hivyo kila anataka achaguliwe 'mkiristo' ili tuwe sawa 🙂disapointed::A S-confused1🙂.

Ahsanteni.
 
All am reading is religious jiberish and zealotry. If one was to make an argument on this, should focus on importance of having TISS, POlice, Justice, Militarry and ther institution be independent from being tools of a President to do at will what pleases him.

The problem with Tanzania which we are not addressing is lack of accountability, efficiency and people taking responsivbilities seriousy and or the interest of the Nation and not partisanship or an affiliation to a ruling party or a sitting President.

The 2010 elections unveiled for another time that ost of appointments in Tanzania are focused on pleasing the rulling party and sitting president and no one is willing and ready to ruffle the feathers with the rulling party or the President.

This is dangerous if we have Presidential appointees who swear on our constitution but abide to personal directions and needs of the President or a rulling party and nt sticking to the constitution and the oath to protect the constitution.

What we need in Tanzania is complete reform of our Constitution and some of the laws and codes so that we can have a true democracy, people will focus on being productive, abiding to laws, respectful of rules and laws, and all the negative feelings or any doubt about one's appointment, election or responsibilities will not become questionable since there will be a standard, fair and just way to measure performance and people will stop the efforts to please a rulling party or a sitting president.
 
JK is very strategic. Angalia mihimili yote mitatu sijui unaona nini?:A S-alert1:
 
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425




PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.

Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 DIsemba, 2010.

Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa Sudan, hadi mwezi Agosti 2011.
Jaji Othman alizaliwa tarehe 1 Januari, 1952, ana shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na Shahada ya Uzamili (MA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Webster, Geneva-Uswisi.

Amewahi kuwa Makamu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Rwanda huko Arusha na amewahi kushika nafasi sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko Timor Mashariki.

Jaji Othman pia, amewahi kufanya kazi ndani na nje ya nchi katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa kama vile Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Msalaba Mwekundu.

Jaji Othman ataapishwa kesho tarehe 27 Disemba, 2010 katika viwanja vya Ikulu saa 4:00 asubuhi.

Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi
Ikulu
Dar es Salaam
26 Disemba, 2010


Kwa CV hiyo, nimeridhika kwamba anafaa kuwa Jaji Othman anafaa kuwa Jaji Mkuu. Mambo ya udini watanzania tuaje jamani hayana faida yoyote. Tunachopaswa kuangalia hapa ni je jk amemteua mtu mwenye sifa????
 
Back
Top Bottom