Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Cha muhimu tuangalie cv yake na ku compare na wengine kama Mbwana ndiyo tuangalie kama issue ni udini au vipi.
 
Yale yale ya wale wale....msini-quote vibaya!!

Daah nilikuwa nashabikia CHADEMA nimeacha kumpa kura kikwete kama 2005 nikampa SLAA kura yangu yeye na mbunge na diwani wake, kumbe naishabikia CHADEMA bila kujua chama chenyewe na wafuasi wake ni wadini.
sasa nimegundua hawa jamaa hawapo kiukombozi zaidi zaidi wapo kidini. JK akichagua kiongozi mzuri mkiristo wanashangila ona kwa Magufuli, Mwakyembe n.k lakini akichaguliwa Muislamu wanaanza JK mdini. Jamani waslamu hajasoma lakini wapo wachache wameenda shule wapongezeni wakichaguliwa ili na wao waijenge nchi yao kwa moyo mmoja.

Samahani Raisi wangu Kikwete kwa kuto kuchagua naapa 2015 nitaichagua CCM sitajali dini wala kabila kwa sababu najua CCM hakuna udini ndiyo maana kila mwaka munashinda tena 2015 mutashinda kwa kishindo kwa sababu CHADEMA haina miaka zaidi ya mitatu kitakuwa kimekufa au kipo hoi angalia dalili zimeshaanza kuonekana wanampinga ZITTO Kabwe kwa sababu jamaa ni Muislamu na anamuunga mkono JK
 
TUNA LAANA WABONGO... DINI DINI

binafsi nadhani mohammed othman hajawa contaminated au polluted kama hawa walio nyumbani

siwezi kumhukumu kwa dini wala undugu na RO kwani tuna Milliband wawilli Uk na wana sifa tele... kuongoza au quality ni genetic

nasubiri new year ijayo ndio nianze kuhukumu bwana MO
 
Lazima tukemee pale tunapoona udini unachukua kasi.
Alishaahidi kila nafasi ikitokea lazima amchague m-kadhi na angalia nafasi zake nyingi za uteuzi.

ninyi si mna rais wenu DR. MFUKO WA CEMENT 5000/= SASA MNALALAMIKA NINI.

UCHUNGU UKIZIDI UNACHUKUA KAMBA HALAFU UNAIZUNGUSHA SHINGONI KISHA UNAFUNGA KWENYE MTI.

SISI WENGINE HUKO NYUMA HATUKUWA TUKIANGALIA MAJINA BALI UTENDAJI. LEO HALI IMEKUWA KINYUME. BUT ITS ONLY 1 OUT OF 5.
 
ni zamu ya waislamu kutesa
post yako #266 was very good halafu tena ukaichakachua na hii ya udini

Hate udini mkuu... He got the job because he won the vetting, adn we need to support him
 
jk is very strategic. Angalia mihimili yote mitatu sijui unaona nini?:a s-alert1:

kwani hukumsikia yule paroko aliyechagiza watawala wang'olewe?. Angelikuwa sheikh angekamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Hivyo lazima uwe strategic kuzuia mauaji ya kimbari kama ya rwanda yaliyoratibika na maparoko.
 
Uteuzi huu una harafu kali ya udini....alipomteua justice Ramadhan alijua ni mzee na hata kaa sana......sasa huyu ni kijana atakaa miaka 7..........au kwa lugha nyingine atamzidi JK kwa miaka miwili................................

lengo ni kuhakikisha mapingamizi dhidi ya sheria mpya ya mahakama ya kadhi yanatupiliwa mbali chini ya uongozi wa Chief Justice Othmani.............again JK is simply disgusting..............................

Acha kuogopa kivuli chako dogo.Mahakama ya Qadhi haiwezi kupitishwa na mtu mmoja,ni maoni ya wananchi na yako yakiwemo,ikionekana kuna asilimia kubwa ya wananchi wanahitaji itapita,kama huitaki jiandae kuhamasisha wananchi waikatae,ndio demokrasia.
 
Mimi sijui kama Mkurugenzi wa TISS na new CJ ni ndugu,lakini kama kweli ni ndugu basi JK ameamua kumuenzi Baba wa Taifa ailyewahi kumchagua mtoto wa dada yake Joseph Warioba kuwa mwanasheria mkuu wa serikali,pia ndugu yake Joseph Butiku kuwa Katibu Mkuu kiongozi.Pia kwa muda mrefu wa utawala wake aliwateua ndugu zake wa Musoma kuwa wakuu wa jeshi na wenginine walikuwa hata hawajui kusoma kama Mwita Kyaro.Pia alimpendekeza Warioba awe Waziri Mkuu chini ya Mwinyi.
Sawa Jk endelea kumuenzi baba wa taifa japo kuwa hujamuenzi vizuri kwa sababau CJ Chande sio ndugu yako.
 
Acheni kuchonga,tuliwaambia tuibwage ccm mkawa mnaogopa eti kisa wao wameshika dola.Sasa acheni wawapeleke kama wawezavyo.The only solution here is remove ccm from the rulling table and plant new agent who will do for interest of majority and not minority as ccm does.Udini mmeanza kuuona leo kwenye uteuzi huu lakini upo siku nyingi sana.
 
wakristu badala ya kupiga kelele you better brace for impact! Oic na kadhi hazikwepeki kwa vyovyote vile. Anzeni kuzoea. Ila kinachouma zaidi ni kuwa top four za tanzania (bila kugusa zanzibar) yupo mtu mmoja mkristu anayeweza kukaimu urais (speaker ana makinda). Usalama wa taifa (muislam), wizara ya mambo ya ndani (usalam ni mwislam), mahakama (mwislam), urais (mwislam). Kwa nini jk hana imani na wakristu kwenye mambo ya usalama?

davies mwamunyange, huyu ndio mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Hao wote uliowaorodhesha hapo break yao ni kwa huyu bwana, na ndio boss wa hao wote, kama point yako imekaa kidini basi wewe ni loser, nchi yoyote lazima uweze kulizibiti jeshi, na jeshi la nchi hii linaongozwa na mkristo ambaye ni davies. Tpdf
 
Uuush nafuta kijasho sasa kwa kuwa huyu jamaa ni dini moja na mimi nitaakikisha navunja sheria kwa sana kwani atakuwa atatusameehe sisi tunayefanana naye.
 
ninyi si mna rais wenu DR. MFUKO WA CEMENT 5000/= SASA MNALALAMIKA NINI.

UCHUNGU UKIZIDI UNACHUKUA KAMBA HALAFU UNAIZUNGUSHA SHINGONI KISHA UNAFUNGA KWENYE MTI.

SISI WENGINE HUKO NYUMA HATUKUWA TUKIANGALIA MAJINA BALI UTENDAJI. LEO HALI IMEKUWA KINYUME. BUT ITS ONLY 1 OUT OF 5.

You better start a countdown. Utashangaa miaka mitano si mingi
 
davies mwamunyange, huyu ndio mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Hao wote uliowaorodhesha hapo break yao ni kwa huyu bwana, na ndio boss wa hao wote, kama point yako imekaa kidini basi wewe ni loser, nchi yoyote lazima uweze kulizibiti jeshi, na jeshi la nchi hii linaongozwa na mkristo ambaye ni davies. Tpdf

Hiyo ni kweli lakini hawezi kufurukuta maana amewekwa ndani ya box na kushindiliwa zege juu. Akikoa tu ikulu inajua. Narudia Wizara ya mambo ya ndani, wizara ya ulinzi, usalama wa taifa upo kwa maswahiba. Huyu Mwamu ni receiver tu
 
Daah nilikuwa nashabikia CHADEMA nimeacha kumpa kura kikwete kama 2005 nikampa SLAA kura yangu yeye na mbunge na diwani wake, kumbe naishabikia CHADEMA bila kujua chama chenyewe na wafuasi wake ni wadini.
sasa nimegundua hawa jamaa hawapo kiukombozi zaidi zaidi wapo kidini. JK akichagua kiongozi mzuri mkiristo wanashangila ona kwa Magufuli, Mwakyembe n.k lakini akichaguliwa Muislamu wanaanza JK mdini. Jamani waslamu hajasoma lakini wapo wachache wameenda shule wapongezeni wakichaguliwa ili na wao waijenge nchi yao kwa moyo mmoja.

Samahani Raisi wangu Kikwete kwa kuto kuchagua naapa 2015 nitaichagua CCM sitajali dini wala kabila kwa sababu najua CCM hakuna udini ndiyo maana kila mwaka munashinda tena 2015 mutashinda kwa kishindo kwa sababu CHADEMA haina miaka zaidi ya mitatu kitakuwa kimekufa au kipo hoi angalia dalili zimeshaanza kuonekana wanampinga ZITTO Kabwe kwa sababu jamaa ni Muislamu na anamuunga mkono JK
Nakushangaa sana unapomuingiza Dr Slaa na Chadema kwenye ubishani wa wana JF wanaohoji uteuzi wa Kikwete wa CJ,kama wengine wanavyosema kama unalo la kutujuza ungetuelewesha kwamba amechaguliwa kulingana na sifa zake za kitaaluma na uzoefu,na pia hata kama ndugu yake wa damu yuko TISS labda hakutakuwa na muingiliano wa madaraka unatakiwa kupunguza hasira zako kwa kila kitu kumuhusisha DR Slaa na Chadema kwenye mambo yasiohitaji kuwahusisha sidhani Chadema au Dr Slaa wanaingiza akili kwenye vichwa vya wana JF ni individuals wenye maono yao,Swala la Zitto limeshazungumzwa sana hapa yeye mwenyewe ndiye aliyechemsha na kwa maana hiyo imekula kwake,
Wana CCM wengi munatabiri kifo cha Chadema kwa vile hamtaki upinzani wa wa wazi na mumevimba vichwa kwamba hakuna watanzania wengine wenye maono mengine kiitikadi na ambao wanapenda nchi yao kama munavyoipenda na wanaweza kuongoza nchi,nadhani ni vizuri tukastawisha demokrasia kwa pamoja na kuhakikisha nchi haiwi na mamuluki na madikteta wanaotaka kutawala milele
 
kwani hukumsikia yule paroko aliyechagiza watawala wang'olewe?. Angelikuwa sheikh angekamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Hivyo lazima uwe strategic kuzuia mauaji ya kimbari kama ya rwanda yaliyoratibika na maparoko.
Mbumbumbu mzungu wa reli mauaji ya kimbari hayana mwaka nchi hii yatotokea kwa ajili ya mpumbavu muliyemuapisha asiye soni mdini mdini mdini kama alivyosema mwenyewe ikulu hapatakuwa patamu shurti akanyage maiti za watu ndio aweze kukaa kwa miaka mitano
 
Back
Top Bottom