Divele Dikalame
Member
- May 4, 2010
- 77
- 12
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.
Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 DIsemba, 2010.
Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa Sudan, hadi mwezi Agosti 2011.
Jaji Othman alizaliwa tarehe 1 Januari, 1952, ana shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na Shahada ya Uzamili (MA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Webster, Geneva-Uswisi.
Amewahi kuwa Makamu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Rwanda huko Arusha na amewahi kushika nafasi sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko Timor Mashariki.
Jaji Othman pia, amewahi kufanya kazi ndani na nje ya nchi katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa kama vile Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Msalaba Mwekundu.
Jaji Othman ataapishwa kesho tarehe 27 Disemba, 2010 katika viwanja vya Ikulu saa 4:00 asubuhi.
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi
Ikulu
Dar es Salaam
26 Disemba, 2010
Lakini kumchagua Jaji Othman kuwa Jaji Mkuu haitoshi considering judiciary yetu ilivyogawanyika. Infact kwa nini watu hawajiulizi about the exclusivity ya Ukabila uliopo ndani ya Judiciary?
Of course kama tutakuwa hatuko makini kwenye kujadili hili itakuwa yale yalee ya sweeping statements kama vile 'ohhh WACHAGGA wamejazana kwenye judiciary ndio maana kuna nuka rushwa' lakini hakuna anayetaka kuangalia chanzo cha hili. Its quite unfortunate kuwa hata hao the so called University Students hawaji kuchangamsha hili baraza rightly or wrongly kutuelezea tena kwa sababu za kisomi kwa nini Judiciary yetu iko ONE SIDED.......maana kushakuwa so polarised humu and I can also understand pessimism kama ipo.
Nadhani kuna myriad factors ambazo tunaweza kusema kuwa zimeweza ku produce a Tanzanian judiciary with kwa mtazamo wa karibu ni haki kusema kuwa ni:
1.distinctly elite
2.non-representative demographics.
3.Born into families of wealth and privilege
4. Ivy League types
Hiyo point ya 4 ni muhimu kuifafanua kwa sababu most of our judges received their basic education good schools, their law training from either UK or U.S (Mara nyingi ni from the Golden Triangle ya UK ambayo inacombine:OXFORD na CAMBRIDGE, kwa upande mmoja, upande wa pili ni Vyuo ambavyo viko chini ya University of London kama KINGS COLLEGE, LONDON SCHOOL OF ECONOMICS, IMPERIAL COLLEGE na ukiangalia kwa sana utaona the others wamesomea kwenye Ivy League za North East wenyewe wanaziita ambazo kuna BROWN COLUMBIA, CORNELL,DARTMOUTH,HARVARD,PRINCETON na bila kusahau UPENN...hivyo piga ua utaona majaji wakuu wetu hawakoso at least a degree from the above institutions.
Sasa after that wengine waliobtain coveted pupilage at a prominent chambers of barristers kwa waliosoma UK. Na after a long and financially rewarding careers at the highest ranks of the bar, including appointments mbali mbali ndipo hawa waheshimiwa waliiingia kwenye full-time judiciary at the end of their practicing career.Given formal eligibility requirements, informal entrance barriers, and other restrictions, the Tanzania bench is overwhelmingly comprised of mainly older males (kwa sababu ya mfumo dume), Christian and from the most privileged stratum of society. So mtu kama Jaji Othman kuwa Jaji mkuu will always bring eyebrows kwa sababu HE DOESNT FIT THE PROFILE. Thats why nimesema kuwa tokana inbalance tulionayo katika Jamii Rais amefanya uamuzi wa busara kwani anaondoa zile stereotypes kuwa Mswahili tena Muislam hawezi kuwa Jaji mkuu na akatoa Haki sawa kwa wote. Mchukieni tuu Jakana lakini on this, I give him big up japo kama nilivyoelezea kuwa hii fani iko very elitist huko juu .
Yes najua kutakuwa na defenders wa mfumo huu au Judiciary yetu as it is lakini ukweli itabaki pale pale kuwa our Judiciary is SOCIALLY BIASED pili iko OUT OF TOUCH WITH ORDINARY LIVES na mbaya zaidi it LACKS PUBLIC CONFIDENCE THAT JUSTICE IS FAIRLY DISPENSED. Sasa kama mnataka tu we na mjadala ambao utaangalia beyong personalities sawa lakini upande wangu nadhani kuna umuhimu wa kufanya reform katika mhimili huu muhimu kwetu kama taifa kwaili kuongeza vitu vitatu:
1. TRANSPARENCY
2. ACCOUNTABILITY
3. DIVERSITY
Naweza kusema kuwa Post Cold War na mpaka miaka ya hivi karibuni kumekuwa na various 'forces' ambao wamekuwa wakitaka kuwepo kwa reforms ambazo zingeangalia au zingeshed light on issues kama vile a) appointment process b)adopting modern personnel management techniques andof course diversifying the bench to more fairly reflect the general population ili kuondoa minongono (rightly or wrongly) kuwa Wachagga au Wakristo wamejikita kwenye hili eneo/ Ninavyofahamu mimi kuwa pressure inatoka from within kwa maana Tanganyika Law Society, and non- legal professionals and governmental actors (kisirisiri au in private) as well as a broad range of social critics such as SHIVJIS and the like na pia bila kusahau SERIOUS press na bila kusahau wale vocal academics.
Its common ukimuuliza mtu wa mtaani atakuwambia kuwa issues zinazochefua judiciary yetu ni 1.criticisms of insider-preferences
2.political cronyism,
3. na bila kusahau the antiquated appointment system
Anyway najua Jaji Othman atakuwa na kazi kubwa ila kama nikipata nafasi ya kuzungumza naye nitamshauri azingatie mambo matatu na si mengine bali nilishatya mention na ndio yata underline reforms zozote tutakazo kuwa nazo kwenye judiciary nazo ni
1. TRANSPARENCY
2. ACCOUNTABILITY
3. DIVERSITY
Mniwie radhi post yangu ndefu kiasi lakini nimeona si vijabaya nikaongezea hayo niliyoyasema hapo awali
Hiyo ni kweli lakini hawezi kufurukuta maana amewekwa ndani ya box na kushindiliwa zege juu. Akikoa tu ikulu inajua. Narudia Wizara ya mambo ya ndani, wizara ya ulinzi, usalama wa taifa upo kwa maswahiba. Huyu Mwamu ni receiver tu
Kwa madhumuni ya kuweka rekodi sawa niseme tu kuwa CJ Mohamed Othman Chande na DG wa TISS Rashid Othman si ndugu. Ni wazaliwa wa mkoa mmoka wa Tanga. Aidha, Jaji Lewis Makame na Profesa Makame Mbarawa nao si ndugu. Jaji Makame ni mzaliwa wa Tanga ilhali Profesa Makame ni mzaliwa wa Unguja.Duh, huyu Chief Justice mpya ni mdogo wake mkuu wa usalama wa taifa, yaani director general of the Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Rashid Othman. Katika vetting ya Chief Justice huwa mkuu wa TISS anahusishwa kwa karibu kupitisha majina.
Hii ina maana kuwa Othman wa TISS kampigia chapuo mdogo wake kuwa Chief Justice mpya! It's very possible candidates wengine wa post hii walichafuliwa makusudi ili dogo apite.
Tutarajie nini kuhusu maamuzi sensitive ya mahakama kuhusu katiba mpya, mgombea binafsi, na mengine ambayo yatawagusa watawala kwa karibu. It's obvious kuwa usalama wa taifa ndiyo itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania. Othman wa TISS atakuwa anatoa maagizo tu kwa dogo wake Othman Chief Justice.
"Dogo hiyo kazi ya Chief Justice si nimekupigia chapuo mimi, sasa nimeshauriana na Rais na uamuzi wa mahakama ya rufaa kwenye kesi hii uwe hivi...."
Kazi ipo hapa... TISS itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania mpaka mwaka 2017 ambapo Othman atakuwa amefikia umri wa kisheria wa kustaafu.
Kwa madhumuni ya kuweka rekodi sawa niseme tu kuwa CJ Mohamed Othman Chande na DG wa TISS Rashid Othman si ndugu. Ni wazaliwa wa mkoa mmoka wa Tanga. Aidha, Jaji Lewis Makame na Profesa Makame Mbarawa nao si ndugu. Jaji Makame ni mzaliwa wa Tanga ilhali Profesa Makame ni mzaliwa wa Unguja.
Mbumbumbu mzungu wa reli mauaji ya kimbari hayana mwaka nchi hii yatotokea kwa ajili ya mpumbavu muliyemuapisha asiye soni mdini mdini mdini kama alivyosema mwenyewe ikulu hapatakuwa patamu shurti akanyage maiti za watu ndio aweze kukaa kwa miaka mitano
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.
Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 DIsemba, 2010.
Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa Sudan, hadi mwezi Agosti 2011.
Jaji Othman alizaliwa tarehe 1 Januari, 1952, ana shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na Shahada ya Uzamili (MA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Webster, Geneva-Uswisi.
Amewahi kuwa Makamu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Rwanda huko Arusha na amewahi kushika nafasi sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko Timor Mashariki.
Jaji Othman pia, amewahi kufanya kazi ndani na nje ya nchi katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa kama vile Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Msalaba Mwekundu.
Jaji Othman ataapishwa kesho tarehe 27 Disemba, 2010 katika viwanja vya Ikulu saa 4:00 asubuhi.
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi
Ikulu
Dar es Salaam
26 Disemba, 2010