Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Ahh!!!!! Hivi tatizo ni nini nakumbuka mzee lusinde na mzee malecela ndugu na walipewa vyeo wakti mmoja? Hata mwalimu wakati yeye ni mwenyekiti wa chama mdogowe joseph nyerere katibu wa vijana wa tanu? Jaji chande kuwa ndugu wa ro tatizo nini? Ebu tuache kasumba tujenge nchi yetu jamani!!!
 
Hongera Chande, fanyakazi kwa uwezo wako wote waonyeshe watanzania kwamba hukuchaguliwa kwa sababu za dini au undugu wako na Mkurugenzi |Mkuu wa TISS bali ni uwezo wako binafsi uliokufikisha hapo. Wewe ni msomi waonyesha watanzania kwamba, bila wewe tungeweza kupoteza raslimali mtu muhimu sana kwa sababu ya kutaka kuendekeza ubaguzi wa kidini au kindugu.
 
"Hawawzi kuwa radhi nanyi wahyahudi na wakristu mpaka mfuate mila (dini) yao...".Haya ndio maajabu ya Quran siku zote husema kweli kwa yatokeayo kwa mwanadamu. Hata jk afanyeje hawezi kamwe kuwaridhisha labada aanze kusali kanisani na wateule wake wote wawe ni wakristu hapo ndo wataridhika.
Ningekuwa jk uteuzi wa baraza la mawziri ningefanya halaf half wislama na wakristu,kwani hawa jamaa hawaridhiki hata wakiona jina moja tu la muislam kwao ni sumu.
 
Ukisoma hizi posts za watu humu unagundua kitu kimoja muhimu sana, ELIMU YA URAIA. I think this is a serious issue inayoface nchi yetu hata zaidi ya hitaji la katiba mpya. Watu hatuna hii elimu kabisa. All this arguments unaona kabisa tunakosa elimu ya uraia of which ni kitu muhimu katika kusukuma mabadiliko. Sitopenda ku-cite mifano lakini wengi mtakubaliana nami kwamba tunahitaji hii elimu sana.
 
quote_icon.png
Originally Posted by Fabolous
Rostam Aziz, Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Nazir Karamagi, Jakaya Kikwete, Yusufu Manji,, Subhash Patel, Je hawa nao ni Wakristu? ,


Ongeza pia: Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi. Hussein Mwinyi na Kigoma Malima.


Mhh....
 
Hii thread ni nzuri sana kwa anayefanya research ya kuchambua who are the great thinkers and who are otherwise in JF!
 
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA



DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425





PRESIDENT’S OFFICE,


THE STATE HOUSE,


P.O. BOX 9120,


DAR ES SALAAM.


Tanzania.




TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.

Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 DIsemba, 2010.

Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa Sudan, hadi mwezi Agosti 2011.
Jaji Othman alizaliwa tarehe 1 Januari, 1952, ana shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na Shahada ya Uzamili (MA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Webster, Geneva-Uswisi.

Amewahi kuwa Makamu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Rwanda huko Arusha na amewahi kushika nafasi sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko Timor Mashariki.

Jaji Othman pia, amewahi kufanya kazi ndani na nje ya nchi katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa kama vile Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Msalaba Mwekundu.

Jaji Othman ataapishwa kesho tarehe 27 Disemba, 2010 katika viwanja vya Ikulu saa 4:00 asubuhi.

Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi
Ikulu
Dar es Salaam
26 Disemba, 2010

Hivi inakuwaje tamko linalotoka ofisi kubwa kama ya Rais likawa na makosa ya kipuuzi kabisa kama haya? Nilitegemea document yoyote inayotoka katika ofisi kubwa kama ya Rais kuwa haina makosa ya uchapaji wala muundo. Mtu asiye makini katika mambo madogo madogo hawezi kuwa makini hata katika mambo makubwa.
 
Tatizo sio elimu ya uraid ndugu,mtu mpaka anweza kutumia internet hakosi elimu hiyo, sema tu ni roho mbaya na pengine wanahubiriwa kuchukia wenzao kwenye nyumba za ibada.

Kwa mtindo huu tunakoelekea ni kugumu.Sasa maaskofu watoke hapo watwambie eti tz hakuna udini,kuna udini zaidi ya huu wa kuchukiana kiasi hiki?

Suluhisho la haya yote ni katiba mpya.Lazima idefine udini ni nini na ihakikishe haugawi nchi.
 
Lakini kumchagua Jaji Othman kuwa Jaji Mkuu haitoshi considering judiciary yetu ilivyogawanyika. Infact kwa nini watu hawajiulizi about the exclusivity ya Ukabila uliopo ndani ya Judiciary?

Of course kama tutakuwa hatuko makini kwenye kujadili hili itakuwa yale yalee ya sweeping statements kama vile 'ohhh WACHAGGA wamejazana kwenye judiciary ndio maana kuna nuka rushwa' lakini hakuna anayetaka kuangalia chanzo cha hili. Its quite unfortunate kuwa hata hao the so called University Students hawaji kuchangamsha hili baraza rightly or wrongly kutuelezea tena kwa sababu za kisomi kwa nini Judiciary yetu iko ONE SIDED.......maana kushakuwa so polarised humu and I can also understand pessimism kama ipo.

Nadhani kuna myriad factors ambazo tunaweza kusema kuwa zimeweza ku produce a Tanzanian judiciary with kwa mtazamo wa karibu ni haki kusema kuwa ni:

1.distinctly elite

2.non-representative demographics.

3.Born into families of wealth and privilege

4. Ivy League types

Hiyo point ya 4 ni muhimu kuifafanua kwa sababu most of our judges received their basic education good schools, their law training from either UK or U.S (Mara nyingi ni from the Golden Triangle ya UK ambayo inacombine:OXFORD na CAMBRIDGE, kwa upande mmoja, upande wa pili ni Vyuo ambavyo viko chini ya University of London kama KINGS COLLEGE, LONDON SCHOOL OF ECONOMICS, IMPERIAL COLLEGE na ukiangalia kwa sana utaona the others wamesomea kwenye Ivy League za North East wenyewe wanaziita ambazo kuna BROWN COLUMBIA, CORNELL,DARTMOUTH,HARVARD,PRINCETON na bila kusahau UPENN...hivyo piga ua utaona majaji wakuu wetu hawakoso at least a degree from the above institutions.

Sasa after that wengine waliobtain coveted pupilage at a prominent chambers of barristers kwa waliosoma UK. Na after a long and financially rewarding careers at the highest ranks of the bar, including appointments mbali mbali ndipo hawa waheshimiwa waliiingia kwenye full-time judiciary at the end of their practicing career.Given formal eligibility requirements, informal entrance barriers, and other restrictions, the Tanzania bench is overwhelmingly comprised of mainly older males (kwa sababu ya mfumo dume), Christian and from the most privileged stratum of society. So mtu kama Jaji Othman kuwa Jaji mkuu will always bring eyebrows kwa sababu HE DOESNT FIT THE PROFILE. Thats why nimesema kuwa tokana inbalance tulionayo katika Jamii Rais amefanya uamuzi wa busara kwani anaondoa zile stereotypes kuwa Mswahili tena Muislam hawezi kuwa Jaji mkuu na akatoa Haki sawa kwa wote. Mchukieni tuu Jakana lakini on this, I give him big up japo kama nilivyoelezea kuwa hii fani iko very elitist huko juu .


Yes najua kutakuwa na defenders wa mfumo huu au Judiciary yetu as it is lakini ukweli itabaki pale pale kuwa our Judiciary is SOCIALLY BIASED pili iko OUT OF TOUCH WITH ORDINARY LIVES na mbaya zaidi it LACKS PUBLIC CONFIDENCE THAT JUSTICE IS FAIRLY DISPENSED. Sasa kama mnataka tu we na mjadala ambao utaangalia beyong personalities sawa lakini upande wangu nadhani kuna umuhimu wa kufanya reform katika mhimili huu muhimu kwetu kama taifa kwaili kuongeza vitu vitatu:

1. TRANSPARENCY

2. ACCOUNTABILITY

3. DIVERSITY

Naweza kusema kuwa Post Cold War na mpaka miaka ya hivi karibuni kumekuwa na various 'forces' ambao wamekuwa wakitaka kuwepo kwa reforms ambazo zingeangalia au zingeshed light on issues kama vile a) appointment process b)adopting modern personnel management techniques andof course diversifying the bench to more fairly reflect the general population ili kuondoa minongono (rightly or wrongly) kuwa Wachagga au Wakristo wamejikita kwenye hili eneo/ Ninavyofahamu mimi kuwa pressure inatoka from within kwa maana Tanganyika Law Society, and non- legal professionals and governmental actors (kisirisiri au in private) as well as a broad range of social critics such as SHIVJIS and the like na pia bila kusahau SERIOUS press na bila kusahau wale vocal academics.

Its common ukimuuliza mtu wa mtaani atakuwambia kuwa issues zinazochefua judiciary yetu ni 1.criticisms of insider-preferences

2.political cronyism,

3. na bila kusahau the antiquated appointment system


Anyway najua Jaji Othman atakuwa na kazi kubwa ila kama nikipata nafasi ya kuzungumza naye nitamshauri azingatie mambo matatu na si mengine bali nilishatya mention na ndio yata underline reforms zozote tutakazo kuwa nazo kwenye judiciary nazo ni

1. TRANSPARENCY

2. ACCOUNTABILITY

3. DIVERSITY

Mniwie radhi post yangu ndefu kiasi lakini nimeona si vijabaya nikaongezea hayo niliyoyasema hapo awali

well said
 
Maandalizi ya mahkam y kadhi na oic yanazidi kupand kwa gharama yoyote km kikwete alivyowaahidi waislamu kuwa atwabeba kwa kil in ya mbeleko..............heko kikwete ris w tanganyik kwani tanzania jina tu zanzibar nchi ya kiislamu imekushinda
 
Hiyo ni kweli lakini hawezi kufurukuta maana amewekwa ndani ya box na kushindiliwa zege juu. Akikoa tu ikulu inajua. Narudia Wizara ya mambo ya ndani, wizara ya ulinzi, usalama wa taifa upo kwa maswahiba. Huyu Mwamu ni receiver tu

Hebu tujuze wakati wa Mkapa ilikuwaje?
 
Duh, huyu Chief Justice mpya ni mdogo wake mkuu wa usalama wa taifa, yaani director general of the Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Rashid Othman. Katika vetting ya Chief Justice huwa mkuu wa TISS anahusishwa kwa karibu kupitisha majina.

Hii ina maana kuwa Othman wa TISS kampigia chapuo mdogo wake kuwa Chief Justice mpya! It's very possible candidates wengine wa post hii walichafuliwa makusudi ili dogo apite.

Tutarajie nini kuhusu maamuzi sensitive ya mahakama kuhusu katiba mpya, mgombea binafsi, na mengine ambayo yatawagusa watawala kwa karibu. It's obvious kuwa usalama wa taifa ndiyo itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania. Othman wa TISS atakuwa anatoa maagizo tu kwa dogo wake Othman Chief Justice.

"Dogo hiyo kazi ya Chief Justice si nimekupigia chapuo mimi, sasa nimeshauriana na Rais na uamuzi wa mahakama ya rufaa kwenye kesi hii uwe hivi...."

Kazi ipo hapa... TISS itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania mpaka mwaka 2017 ambapo Othman atakuwa amefikia umri wa kisheria wa kustaafu.
Kwa madhumuni ya kuweka rekodi sawa niseme tu kuwa CJ Mohamed Othman Chande na DG wa TISS Rashid Othman si ndugu. Ni wazaliwa wa mkoa mmoka wa Tanga. Aidha, Jaji Lewis Makame na Profesa Makame Mbarawa nao si ndugu. Jaji Makame ni mzaliwa wa Tanga ilhali Profesa Makame ni mzaliwa wa Unguja.
 
Kwa madhumuni ya kuweka rekodi sawa niseme tu kuwa CJ Mohamed Othman Chande na DG wa TISS Rashid Othman si ndugu. Ni wazaliwa wa mkoa mmoka wa Tanga. Aidha, Jaji Lewis Makame na Profesa Makame Mbarawa nao si ndugu. Jaji Makame ni mzaliwa wa Tanga ilhali Profesa Makame ni mzaliwa wa Unguja.

Didi duu... karibu tena. Tangu ujiunge JF 2009 hii ndo post yako ya kwanza. Huenda unafahamu mengi juu ya hawa watu. Hebu tujuze zaidi.
"Join Date Mon Sep 2009 Posts 1 Thanks 0"
 
Mbumbumbu mzungu wa reli mauaji ya kimbari hayana mwaka nchi hii yatotokea kwa ajili ya mpumbavu muliyemuapisha asiye soni mdini mdini mdini kama alivyosema mwenyewe ikulu hapatakuwa patamu shurti akanyage maiti za watu ndio aweze kukaa kwa miaka mitano

Angalia yanayotokea Ivory Coast. Tatizo pale sio demokrasia kushika hatamu. Tatizo ni Ukristo kushika hatamu. Ally Hassan Ouatara ni Muislam na Laurent Gbagbo ni Mkristo. Na wakristo ndio waliopewa better chance pale. Kumtoa gbagbo madarakani ni kufumua madudu ya kanisa kwa kudhulumu mali ya umma. hivyo lazima yalindwe kwa gharama yoyote. No matter how many people will perish!

huyo aliyeahidi kuingia Ikulu kwa gharama ya maiti za watu anajulikana. sipendi nimtaja kwani unamjua a.k.a Rais wako. Mtaalamu wa kusema Uongo na mzushi. Mpenda wake za watu.

KAMA TUKISEMA NCHI HII INANUKA KWA UFISADI BASI KUNA KUNDI LA WATU KUPITIA MLANGO WA NYUMA WAMECHANGIA. TUNAONA WANAVYOENDELEA KUANZISHA MAKANISA, MAHOSPITALI, MASHULE NA LUNINGA. NDIO MAANA TUNAPOSEMA WAKAMATWE UTAONA MAKASISI WANAKUJA JUU NA KUTISHIA KUMWAGA DAMU WAKIWATETEA.
TUBADILI MFUMO HALAFU BAADA YA MIAKA KUMI IJAYO TUPIME MAENDELEO YA NCHI. KUTAKUWA NA TOFAUTI KUBWA SANA.
 
kiongozi mzuri ni yule anaye heshimika na wenzake, je mimi naomba kuuliza CJ Mteuliwa ana command respect among his fellow Judges ? Kama ana command hiyo respect then uteuzi wake ni sawa, lakini kama background yake ni tofauti then hapo tunaweza kujadili.
hivi sammatta alivyo chaguliwa ndio alikuwa the senior judge among the judges? je jaji steven bwana kwanini hakuchaguliwa? au huyo luwande au ,munuo.
 
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425




PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.

Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 DIsemba, 2010.

Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa Sudan, hadi mwezi Agosti 2011.
Jaji Othman alizaliwa tarehe 1 Januari, 1952, ana shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na Shahada ya Uzamili (MA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Webster, Geneva-Uswisi.

Amewahi kuwa Makamu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Rwanda huko Arusha na amewahi kushika nafasi sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko Timor Mashariki.

Jaji Othman pia, amewahi kufanya kazi ndani na nje ya nchi katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa kama vile Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Msalaba Mwekundu.

Jaji Othman ataapishwa kesho tarehe 27 Disemba, 2010 katika viwanja vya Ikulu saa 4:00 asubuhi.

Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi
Ikulu
Dar es Salaam
26 Disemba, 2010




Msiangushe udini huyu jaji anafaa, ila tatizo langu lipo kwa huyo aliyeandika taarifa hii. Mbona amejitaja kama MWANDISHI WA HABARI WA RAIS MSAIDIZI. Hapa kuna uhakika kweli? Tuna Rais Msaidizi? Au angetakiwa kusema ni MWANDISHI WA HABARI MSAIDIZI WA RAIS? Kweli tutaona mengi mwaka huu na ujao.
 
Back
Top Bottom