Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania


Nimeyakubali mawazo yako mkuu!
 
@Mdodoaji
Hivi je sio busara TISS na CJ kuwa separate bodies kabisa bila kuwa na muingilano wowote...? YES or NO... please.
 
Ifike mahala tuache kutia nyongo kila jambo linalofanywa na watawala. Nimesoma kwa makini wasifu wa Jaji Mkuu mpya Othman Chande. Inajitokeza waziwazi kwamba huyu ni mtu mwenye wasifu na sifa za juu kabisa katika maswala ya sheria na mahakama. Ana uzoefu wa hali ya juu kitaifa na kimataifa. Mamlaka ya uteuzi wangekuwa ni wajinga kama wangemuacha kwa sababu tu kaka yake ni Mkurugenzi Mkuu wa TISS. Tony Blair na Gordon Brown waliwahi kuwateua mtu na mdogo wake kuwa katika baraza la mawaziri. Juzijuzi Chama cha Labour kiliwapitisha mtu na kakake kugombea nafasi ya Kiongozi wa labour.

Ni ujuha na ujinga kumteua mtu kwa sababu ya dini, udugu, ukabila, n.k. Vilevile ni ujuha na ujinga wa kutisha kuacha kumteua mtu kwa sababu tu ndugu yake alishatangulia huko serikalini hata kama ana sifa. Haya mambo ya ku-balance kidini, kikabila, kidugu, kikanda na kimokoa ndiyo yanaletekeza mijitu mingine kuteuliwa kuwa mawaziri hata kama haina sifa ili wateuzi waonekane walizingatia mgawanyo wa kimkoa, kidini, kikabila, n.k. Kama mtu ana sifa basi ateuliwa, na kama hakuna mtu mwenye sifa kwa nafasi husika kutoka hiyo dini au kabila au mkoa basi na iwe hivyo. Si lazima kila dini au mkoa uwakilishwe katika nafasi za uteuzi.

Othman Chande, chapa kazi. Una nafasi ya kujitengenezea legacy ya pekee kwa kutoa msukumo muhimu ili hatimaye nchi yetu iwe na Katiba Mpya yenye kuzingatia misingi ya demokrasia na haki za binadamu.
 
Mdogo wa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Jaji Mohamed Othman Chande ameteuliwa kuwa Jaji Mkuu.

Sijui naye ni mchakachuaji?

Unafikiri JK anaweza kuteua mtu asiyeendana na intrest zake?
 
Wakristu badala ya kupiga kelele you better brace for impact! OIC na Kadhi hazikwepeki kwa vyovyote vile. Anzeni kuzoea. Ila kinachouma zaidi ni kuwa Top four za Tanzania (Bila kugusa Zanzibar) yupo mtu mmoja mkristu anayeweza kukaimu urais (speaker ana makinda). Usalama wa Taifa (Muislam), Wizara ya mambo ya ndani (usalam ni Mwislam), Mahakama (Mwislam), Urais (Mwislam). Kwa nini JK hana imani na Wakristu kwenye mambo ya Usalama?
 
wanajamii kwa taarifa za uhakika tumempata jaji mkuu mpya mtajwa hapo juu.Tutegemee nini kipya kutoka kwake? mabadiliko ya sheria kandamizi mahakamani? haki kupatikana kwa wakati bila kucheleweshwa? au mambo ndo yale yale ya mahakama kumezwa na chama tawala kiutendaji hata utoaji wa haki kwa kupendelea?
 

Nani kakwambia ustaarabu wa Ulaya na Afrika ni sawa. Kilichotokea Ivory Coast nini kama si ndugu kumtangaza ndugu kama Rais. Ulaya ipo mifano mingi ya ndugu kutawala (Nikuongezee Poland) lakini wana system zinazoweza kudhibiti kama maadili yanakengeukwa?
 

Lakini wakristu kuna mawaziri 33 vs 17 vipi mbona JK hana imani na waislamu kwenye mambo uwaziri?
 
Tony Blair na Gordon Brown waliwahi kuwateua mtu na mdogo wake kuwa katika baraza la mawaziri. Juzijuzi Chama cha Labour kiliwapitisha mtu na kakake kugombea nafasi ya Kiongozi wa labour.

With all due respect Sir...... Kuna tofauti kubwa sana kama mtu na kaka yake mmoja ni waziri wa michezo na mwingine waziri wa kilimo (hapa hakuna muingiliano wala any possibility ya corruption)... na mtu na kaka yake kugombea uongozi kwenye chama kimoja cha siasa (Ed and David Milliband) how can this lead to corruption????? Am sorry lakini mifano yako does not hold water....
 
Hata mifano aliyotoa haiendani kabisa na hii mada anagalia post ya 70
 

Huo ni mtazamo wako kuona labda watu wamependeleana ili tu mdogo mtu apate hiyo post; je hana sifa kuzidi wale wengine wawili au vp??? Tuangalie ujuzi, uzoefu, elimu, busara na hekima za watu wanaoteuliwa kushika nyadhifa tofauti ktk nchi yetu.

Tukianza kusema amependelewa kwa undugu, udini, ukabila n.k hakuna atakaeteuliwa akaonekana anafaa, hili jambo ipo siku litaturudi muda si mrefu.

Wengine nao wameshakuwa kina Shehe Yahya (watabiri), mara mahakama ya kadhi inakuja mara oic....oohh tutakuwa km Sudan/Somali/Nigeria... watu hawana hoja wanaleta habari za kusadikika tu!!! Leteni hoja zenye mashiko...
 
But one man who is duly qualified with local and international experience cannot be denied a chance to serve his country just because his brother is the head of the intelligence services. Have you considered that the man was already serving in the Court of Appeal as a Justice of Appeal. This means that he has had to deal with seminal cases and his record does not really require the words of this brother! You people think in very linear terms, that might be the issue. Not even one of you has asked which judgements he has delivered throughout his distinguished career (inorder to determine his legal expertise and level of intergrity) instead all you see is his first name, his religion... yani waswahili ndio maana hatuendelei nakwambieni... Wote humu wanafikiria aah muislamu basi freshi au muislamu aah JK mdini.. Hakuna kunagalia 'merit'.... Mungu anahusiana vipi na Judicial system ya Tanzania ambayo inamatatizo mbali mbali...hakuna dini inayoruhusu rushwa, ukosefu wa haki, urasimu wakijinga, na hayo ndio matatizo ya Mahakama Tanzania... haendi madraas huyu au kanisani kuubiri...Anaenda kuwasaidia watanzania kupata haki zaidi.... mpimeni kwa vigezo husika... TUACHE MAWAZO FINYU..


Tanzania ni MOJA.

KK
 

Hakuna tofauti yoyote ile kila kazi ina mipaka yake so hakuna tatizo, kila mtu ana duties zake

Jaji chapa kazi hawana hoja....wale wale wapendao kupendelewa...
 
...hebu tutajie walau conflict of interest moja iliyojitokeza ktk Bunge lililopita La 10 ambapo Mh. Samwel Sitta alikuwa Speaker then Mke Wake alikuwa Waziri ktk Wizara tofauti??.
Vivyo hivyo kipindi cha Pius Msekwa( Speaker) Mkewe Anna Abdalah Mbunge(Waziri???) kipindi hicho
 

nadhani hatuelewani maana ya conflict of interest...... Mfano mzuri ni kama mfano kampuni inatoa tender (na mtoa tenda ni mke) na anayepewa tenda ni bwana yake.......... (kwa hiyo hapa kuna uwezekano wa corruption au huyo mtu aliyepewa tenda kutokufanya kazi)... Sasa je Spika wa Bunge na Waziri.... au Spika na Mbunge wewe unaona kuna uwezekano wa hawa watu kunfanya any corruption???? na kama uwezekano upo extent yake ni kubwa kiasi gani???
 
Hongera Othumani, majina yasiwatishe kwani hata bungeni tumeona mbunge anajina la kikiristo lakini ameapa kwa kutunia KURUANI TUKUFU, acheni fikira za udini tunachojali ni utendaji wa kazi wa mtu.
 
I was gonna say the same thing...they are related
 
@Mdodoaji
Hivi je sio busara TISS na CJ kuwa separate bodies kabisa bila kuwa na muingilano wowote...? YES or NO... please.

Jibu it depends kwani in a perfect world it is possible kwa TISS na CJ kuwa separate bodies kama kila mmoja atafanya kazi kwa ufanisi. Nitakupa mfano Ed miliband alikuwa waziri wa mazingira na kaka David milliband alikuwa waziri wa mambo ya nje UK wote walifanya kazi kwa ufanisi mkubwa kiasi walikuwa consider for the nomination of Labour Party ambapo Ed alimshinda kaka yake.

Sasa kwa ulimwengu wa Tanzania jibu ni Yes kunaweza kutokea conflict of interest but huo ndio utaratibu wa nchi yetu. Mbona kulikuwa na rumours wakati wa mkapa kuwa mama mkapa, Mramba na mgonja wametokea sehemu mmoja na wako sehemu sensitive. Well ndio system ya nchi yetu. Hatuna la kusema la muhimu tuache tu yaende na kumpa nafasi aliyeteuliwa afanye kazi kwa ufanisi kama walivyofanya baadhi ya watu duniani.
 
If worse comes to worse, jack zoka will take over tiss...any further conflict of interest?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…