Ndugu yangu, hakuna mjadala kuwa Chief Justice kama vyeo vingine kama mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya umma, etc, lazima wafanyiwe vetting na usalama wa taifa, TISS. Vijana wa TISS wanafanya vetting, wanampelekea mkuu wa TISS then anampelekea Rais. Mwenye final input kwenye file za vetting za watu kabla haijaenda kwa Rais ni mkuu wa TISS. Sasa kwenye issue hii Othman wa TISS ilikuwa ni wazi kuwa ana conflict of interest kwa kuwa mdogo wake pia yupo kwenye majina haya. Mkuu wa TISS anaweza kuandika file zuri kwa mtu mmoja na kuwachafua wengine hivyo ku-influence uteuzi wa Rais moja kwa moja.