Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania


Hata kama ilifanyika wakati wa Mkapa... it should not be so.... (haifai).... na haya mambo ya kusema hii ndio system ya nchi yetu ndo yametufikisha hapa tulipo na tukiendelea hivi kuna siku tutaamka asubuhi na kukuta nchi si yetu tena imeshauzwa.

Now in serious note I can argue In case of Milliband's Family Waziri wa Mazingira na Waziri wa mambo ya nchi za nje hizi wizara mbili ni vigumu ku coordinate na kuleta corruption. ALAFU HII MIFANO YA UK NA HAO WANASIASA UTAFIKIRI WAO NDIO ANGELS... NA WENYEWE NI WASANII VILE VILE INGAWA WANABANWA...... (HIVI UNAJUA KASHFA YA TONY BLAIR NA LABOUR PARTY KWAMBA WALIKUWA WANAWAPA WATU KUWA MA-LORDS SABABU TU WALICHANGIA CAMPAIGN YA LABOUR...)

Hii ni Nchi yetu Watanzania.... ITS UP TO US TO MAKE CHANGES NA SIO KUSEMA HIYO NDIO SYSTEM ILIVYO.....
 
Vzr, sasa tukubaliane kwamba hakutakuwa na conflict of interest baina ya DG wa TISS na CJ eti kwa sababu ni Ndugu, hizo ni fikra za kusadikika. Tuwaache hawa wateule wafanye kazi wamsaidie Rais ukizingatia kila mmoja anaendesha Idara/taasisi isiongiliana na mwenzie kulingana na Sheria zilizoziunda taasisi hizo.
 

CJ Ramadhani ana miaka 65 unataka mzee wa watu afie ofisini. Mwacheni akapumzike vitukuu vyake vifaidi uwepo wake. Wacheni tabia ya ubinafsi na chuki kwa JK
 

M.Mungu kasema katika kitabu chake tukufu "summun bukmun umyun fahum la yarjeoon" (they are deaf ,dumb & blind therefore they they do/will not return). so waislam musiawashangae hawa watu Qur-an haisemi uwongo
 

I hope you are not suggesting that we (Africans) are sub-humans!!
 

Hivi functions za TISS ni nini mpaka unaposema kwamba Idara hizi haziingiliani?????
 
Hivi functions za TISS ni nini mpaka unaposema kwamba Idara hizi haziingiliani?????

Hujui function za TISS ndio maana unaona na kudhani hizo idara zinaingiliana.

Kama unazijua functions za TISS na unaona zinaingiliana na za idara ya CJ, basi zitaje.
 
Tatizo mmezoea kupendelewa mbona machifu justice waliopita walikuwa wakristo na waislamu hawakupiga kelele, wewe ndio unanuka udini.

Ulitaka mteuliwa awe Jaji PETER JOHN JOSEPH?maana kina Othman hawajasoma
 
Katika maisha yangu nimekaa na wabongo sana na kufatilia habari za nyumbani nimeona nimeona muna matatizo ila tatizo lenu moja kubwa munapenda kuzungumza pita kiasi bila ya vitendo na kufikiria hilo jinchi lenu hata ashuke yesu basi haliendelei kwa kuzungumza upumbavu mara mbara,mara mzanzibari,mara mukiristo,mara muislamu duh aisee nyie ni noma sisi wenye asilii ya tz mpaka munatuogopesha hata kuja kutembea kwa ujinga wenu mwingi acheni upuuzi wa udini na ukabila kuweni wastaarabu na wawazi zaidi kwa kuangalia utendaji wa kazi
 
mkuu naona wewe upo sahihi kuliko huyo jamaa wa ikulu.... sina uhakika ana cheo nyadhifa gani kwani hayo maandishi yenye blue hayaeleweki...

Sahihi ni Mwandishi Msaidizi wa Rais ajabu ni kwamba wamekuwa wakirudia hili kosa siku zote bila kulirekebisha ni aibu sana kwetu. Nadhani issue hapa ni uwezo mdogo wa huyo mwandishi msaidizi kwani hata press release zake nyingi huwa hazikoedited yaani makosa kibao lakini bado anachanja mbuga as if hakuna kilichotokea. Mimi sishangai katika hili kwani kuna source moja very reliable ilisema mwandishi husika ni moja ya nyumba ndogo zake kilaza wetu anayeiangamiza nchi huku anatabasamu.
 

Mkuu nimekupa previous events kwasababu kisheria ndio zinadefine our type of leadership. Ni wachache kama wewe wanaona hakuna umuhimu wa kufata ada iliyopo ya charity begins at home but ukweli haya mambo tunayaona sana humu maofisini kwetu. Akija mchaga, mhaya, mnyakyusa, muislamu, mkristo utaona ataanza kupangua skwadi mpaka utashangaa hii ni kwasababu waliopo hawaamini anataka watu ambao atafanya nao anaowaamini. Ukweli ndio hivyo Tanzania inafanya kazi.

Tukija mada naomba nikuulize mara mwisho Chief Justice kuwa muislamu ilikuwa lini pengine ni jambo la kupongeza kama tulivyompongeza mama ana makinda kwa kuteuliwa mwanamke wa kwanza kuwa speaker. Tumuangalie jamani kwa qualification na sio dini, kabila. CJ Chande fanya kazi tutakupa ushirikiano.
 

mimi sina neno hata kama angekuwa hana dini, au budha, hindu, sina neno kabisa...... yote heri... kwanza hata sijui viongozi wangu ni dini gani mimi ni Mtanzania ambaye jana nimetoka kula Xmass na marafiki zangu Hussein, Abdul, na Patel..... ila undugu wa hawa watu wawili kwenye hizi idara nyeti that why I raise my eyebrows.... I might be mistaken....
 

You are just kidding dude...eyebrows yako inamulika sana pale ambapo kuna wale...kina abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…