Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Ndugu yangu, hakuna mjadala kuwa Chief Justice kama vyeo vingine kama mawaziri, wakurugenzi wa mashirika ya umma, etc, lazima wafanyiwe vetting na usalama wa taifa, TISS. Vijana wa TISS wanafanya vetting, wanampelekea mkuu wa TISS then anampelekea Rais. Mwenye final input kwenye file za vetting za watu kabla haijaenda kwa Rais ni mkuu wa TISS. Sasa kwenye issue hii Othman wa TISS ilikuwa ni wazi kuwa ana conflict of interest kwa kuwa mdogo wake pia yupo kwenye majina haya. Mkuu wa TISS anaweza kuandika file zuri kwa mtu mmoja na kuwachafua wengine hivyo ku-influence uteuzi wa Rais moja kwa moja.

Mkuu,

Comments zako zimekaa kisiasa siasa. May be do the following:

1) Nenda kasome sheria ya usalama wa taifa ujue kwanza role zake.
2) Kafanye utafiti juu ya process ya kuteus jaji mkuu na majaji wengine.
3) Kasome kesi zake zote tokea alipoanza kuwa hakimu, jaji wa mahakama kuu, mahakama ya rufaa then fanya analysis ya decisions zake.
4) Pia kasome judgements za hao majaji wengine waliotemwa then compare hizo judgements na za Jaji Chande.
5) Baada ya hapo toa pendekezo ni nani kati ya hao watatu angefaa kuwa jaji mkuu.

Note: Usicompare cheo cha jaji mkuu na vyeo vya kisiasa kama mawaziri, wakurugenzi, etc. Hata kama TISS walimfanyia vetting umejuaje kama huyo Othman wa TISS did the vetting personallly? Kwenye appoitment za kisheria kinaangaliwa zaidi contribution ya the intended appointee kwenye fani, sio undugu.

And what do you mean "conflict of interest" anyway? I think the appropriate word here is "bias" not "conflict of interest"
 
@Mdodoaji
Hivi je sio busara TISS na CJ kuwa separate bodies kabisa bila kuwa na muingilano wowote...? YES or NO... please.
NO kwa capital kubwa! Taratibu za utumishi zina taratibu zake na hakuna kipengele kinachozungumzia hii nadharia yako!
 
Chuki tu zimewajaa na wivu sasa ndio mnareveal your true colours. Zamani mlikuwa mnajifanya critical thinkers but now your true colours zinadhihirika.
Kamwambie hiyo rafiki yako Dar-es-Salaam. Ndiye aliyehusisha kigezo cha ufisadi na ukristo wa Mkapa. Nilikuwa najibu tu mapigo.
 
Kuna maswali ya kujiuliza

1. Wakati gani mtu hufanyiwa vetting?
2. Vetting hudumu kwa muda gani?

Huyu Jaji Othman alishafanyiwa vetting, ndio akateuliwa na Rais kuwa Jaji katika Mhakama ya Rufaa. Kelele kuwa ndugu yake (sina uhakika) Rashid Othman kampendelea katika vetting zingeanza alipoteuliwa kuwa katika Mahakama Kuu, ambako ndio vetting ilianza. Kama angeteuliwa toka nje ya "presidential post" hapo ndio kungekuwa na vetting. Sasa hii vetting ya sasa inatoka wapi?, na kusema Rashid Othman atakuwa kampendelea ndugu yake.
 
Nani kakwambia ustaarabu wa Ulaya na Afrika ni sawa. Kilichotokea Ivory Coast nini kama si ndugu kumtangaza ndugu kama Rais. Ulaya ipo mifano mingi ya ndugu kutawala (Nikuongezee Poland) lakini wana system zinazoweza kudhibiti kama maadili yanakengeukwa?
Kwa hili lipo lililokengeukwa?
 
Kwa kipengele gani?

Da ndugu yangu nimejibu hii issue somewhere in between these 195 topics in short what I said ni kwamba mimi sijali mtu dini yake wala kabila... ila kuna issue ya conflict of interests baada ya kuangalia functions za Judiciary na Functions za Tiss... Mwisho nikatoa mfano wa TISS inakushika kwa Uhaini alafu Judiciary ndio inakuhukumu... This two sensitive positions kuwa na viongozi wakubwa wao ambao ni ndugu inaraise eyebrows.. (Kuna uwezekano wa mmoja kuinfluence decision ya mwenzake au vice versa)

Information zote na maswali yote nimejibu in between hizi posts...
 
waIslam ndio waliowaingiza mjini, huyo Nyerer wenu waIslam wa Dar Es Salaam ndio waliomfundisha kuvaa suruali, for your information, alikuja na kaptura hapa!

Ufisadi na wizi si katika tabia na mafunzo ya kiIslam, tazama mkapa alivyofisadi, nadhani hakuna katika watu waliofurahia Nyerere kufa zaidi ya Mkapa. Duhh, baada ya kufa Nyerere tu, he ascended from rugs to riches. Leo tunaona huyu Rais muIslam akifichuwa mafisadi mpaka nanyi mnapata sauti ya kusema< mliyaona haya wakati wa Nyerere au Mkapa?

Hii post yako imekaa mlengo wa kidini sana, may be labda una hasira na hao waohusisha kuchaguliwa kwa jaji Othumani na uslam wake....
kwa maoni yangu Jaji Othumani was the "best" option Jk had on the table, so he deserved the position..........ni coincidence tu kuwa uteuzi wake umekuja kipindi hiki ambacho "msamiati" wa udini ulioanzishwa na CCM unazidi kukua kila siku kwa hiyo kila uteuzi unaofanywa huangaliwa kwa jicho hilo.............huyo JK alichaguliwa si kwa sababu ya uislam wake sbb hatukuwa tkichagua shekhe tulikuwa tukichagua kiongozi wa nchi..........hiyo sifa ya Jk kufichua ufisadi hana angekuwa nayo Kagoda na Deep green wangekuwa Kisutu..........Hilo la Nyerere linajulikana hata mwenyewe kwenye moja kati ya speech zake alishawahi kuliongelea, hilo la kufundishwa kuvaa suruali na wazee waislam wa dar es slaam sio sahihi labda ungesema kanzu ungeeleweka..
 
With all due respect Sir...... Kuna tofauti kubwa sana kama mtu na kaka yake mmoja ni waziri wa michezo na mwingine waziri wa kilimo (hapa hakuna muingiliano wala any possibility ya corruption)... na mtu na kaka yake kugombea uongozi kwenye chama kimoja cha siasa (Ed and David Milliband) how can this lead to corruption????? Am sorry lakini mifano yako does not hold water....
Ukiukwaji wa taratibu lazima utaonekana. Hebu tuambie kwa hili upi ???
 
nadhani hatuelewani maana ya conflict of interest...... Mfano mzuri ni kama mfano kampuni inatoa tender (na mtoa tenda ni mke) na anayepewa tenda ni bwana yake.......... (kwa hiyo hapa kuna uwezekano wa corruption au huyo mtu aliyepewa tenda kutokufanya kazi)... Sasa je Spika wa Bunge na Waziri.... au Spika na Mbunge wewe unaona kuna uwezekano wa hawa watu kunfanya any corruption???? na kama uwezekano upo extent yake ni kubwa kiasi gani???

Hee! Tunakuja kwenye tenda tena? Hapo ju tu ulikosoa mifano nawewe unajirudia. Hapa nani ana tenda na nani mkandarasi?/JK au Othman wa TISS?
 
And what do you mean "conflict of interest" anyway? I think the appropriate word here is "bias" not "conflict of interest"

Wewe ndiyo uko kisiasa zaidi. I have the honour to give you one example of conflict of interest
Family interests, in which a spouse, child, or other close relative is employed (or applies for employment) or where goods or services are purchased from such a relative or a firm controlled by a relative. For this reason, many employment applications ask if one is related to a current employee. If this is the case, the relative could then recuse from any hiring decisions. Abuse of this type of conflict of interest is called nepotism.

And when does it exist?
A conflict of interest can only exist if a person or testimony is entrusted with some impartiality; a modicum of trust is necessary to create it. The presence of a conflict of interest is independent from the execution of impropriety. Therefore, a conflict of interest can be discovered and voluntarily defused before any corruption occurs.

Kwa hiyo neno bias limo ndani ya conflict of interest ambapo hapa wametumia neno "Impartial"

source: Conflict of interest - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hii post yako imekaa mlengo wa kidini sana, may be labda una hasira na hao waohusisha kuchaguliwa kwa jaji Othumani na uslam wake....
kwa maoni yangu Jaji Othumani was the "best" option Jk had on the table, so he deserved the position..........ni coincidence tu kuwa uteuzi wake umekuja kipindi hiki ambacho "msamiati" wa udini ulioanzishwa na CCM unazidi kukua kila siku kwa hiyo kila uteuzi unaofanywa huangaliwa kwa jicho hilo.............huyo JK alichaguliwa si kwa sababu ya uislam wake sbb hatukuwa tkichagua shekhe tulikuwa tukichagua kiongozi wa nchi..........hiyo sifa ya Jk kufichua ufisadi hana angekuwa nayo Kagoda na Deep green wangekuwa Kisutu..........Hilo la Nyerere linajulikana hata mwenyewe kwenye moja kati ya speech zake alishawahi kuliongelea, hilo la kufundishwa kuvaa suruali na wazee waislam wa dar es slaam sio sahihi labda ungesema kanzu ungeeleweka..

Post zote, hujaona zinavyoongea kidini isipokuwa yangu tu?
 
Hivi functions za TISS ni nini mpaka unaposema kwamba Idara hizi haziingiliani?????
Hivyo TISS kazi yake ni nini hata isiingiliane na Taasisi nyengine hapa Tanzania? Hii Confict of intrests haishii kwa CJ tu hapa Tanzania!
 
Katika maisha yangu nimekaa na wabongo sana na kufatilia habari za nyumbani nimeona nimeona muna matatizo ila tatizo lenu moja kubwa munapenda kuzungumza pita kiasi bila ya vitendo na kufikiria hilo jinchi lenu hata ashuke yesu basi haliendelei kwa kuzungumza upumbavu mara mbara,mara mzanzibari,mara mukiristo,mara muislamu duh aisee nyie ni noma sisi wenye asilii ya tz mpaka munatuogopesha hata kuja kutembea kwa ujinga wenu mwingi acheni upuuzi wa udini na ukabila kuweni wastaarabu na wawazi zaidi kwa kuangalia utendaji wa kazi
Watanzania walio wengi hawamo JF. Pengine ni asilimia 0. tu ndio wamo humu . Msiogope Tanzania bado tuna uvumilivu mkubwa wa dini, majimbo na kabila.
 
Vema hebu tuelimishane kuna hiki kipengele cha


sasa ukichanganya na functions za Judiciary si unaweza ukakuta mtu unakamatwa sababu wewe ni muhaini alafu mahakama inakutia ndani bila pingamizi au????
Umejifunua!!1 Fungu la kukosa!
 
Lakini kumchagua Jaji Othman kuwa Jaji Mkuu haitoshi considering judiciary yetu ilivyogawanyika. Infact kwa nini watu hawajiulizi about the exclusivity ya Ukabila uliopo ndani ya Judiciary?

Of course kama tutakuwa hatuko makini kwenye kujadili hili itakuwa yale yalee ya sweeping statements kama vile 'ohhh WACHAGGA wamejazana kwenye judiciary ndio maana kuna nuka rushwa' lakini hakuna anayetaka kuangalia chanzo cha hili. Its quite unfortunate kuwa hata hao the so called University Students hawaji kuchangamsha hili baraza rightly or wrongly kutuelezea tena kwa sababu za kisomi kwa nini Judiciary yetu iko ONE SIDED.......maana kushakuwa so polarised humu and I can also understand pessimism kama ipo.

Nadhani kuna myriad factors ambazo tunaweza kusema kuwa zimeweza ku produce a Tanzanian judiciary with kwa mtazamo wa karibu ni haki kusema kuwa ni:

1.distinctly elite

2.non-representative demographics.

3.Born into families of wealth and privilege

4. Ivy League types

Hiyo point ya 4 ni muhimu kuifafanua kwa sababu most of our judges received their basic education good schools, their law training from either UK or U.S (Mara nyingi ni from the Golden Triangle ya UK ambayo inacombine:OXFORD na CAMBRIDGE, kwa upande mmoja, upande wa pili ni Vyuo ambavyo viko chini ya University of London kama KINGS COLLEGE, LONDON SCHOOL OF ECONOMICS, IMPERIAL COLLEGE na ukiangalia kwa sana utaona the others wamesomea kwenye Ivy League za North East wenyewe wanaziita ambazo kuna BROWN COLUMBIA, CORNELL,DARTMOUTH,HARVARD,PRINCETON na bila kusahau UPENN...hivyo piga ua utaona majaji wakuu wetu hawakoso at least a degree from the above institutions.

Sasa after that wengine waliobtain coveted pupilage at a prominent chambers of barristers kwa waliosoma UK. Na after a long and financially rewarding careers at the highest ranks of the bar, including appointments mbali mbali ndipo hawa waheshimiwa waliiingia kwenye full-time judiciary at the end of their practicing career.Given formal eligibility requirements, informal entrance barriers, and other restrictions, the Tanzania bench is overwhelmingly comprised of mainly older males (kwa sababu ya mfumo dume), Christian and from the most privileged stratum of society. So mtu kama Jaji Othman kuwa Jaji mkuu will always bring eyebrows kwa sababu HE DOESNT FIT THE PROFILE. Thats why nimesema kuwa tokana inbalance tulionayo katika Jamii Rais amefanya uamuzi wa busara kwani anaondoa zile stereotypes kuwa Mswahili tena Muislam hawezi kuwa Jaji mkuu na akatoa Haki sawa kwa wote. Mchukieni tuu Jakana lakini on this, I give him big up japo kama nilivyoelezea kuwa hii fani iko very elitist huko juu .


Yes najua kutakuwa na defenders wa mfumo huu au Judiciary yetu as it is lakini ukweli itabaki pale pale kuwa our Judiciary is SOCIALLY BIASED pili iko OUT OF TOUCH WITH ORDINARY LIVES na mbaya zaidi it LACKS PUBLIC CONFIDENCE THAT JUSTICE IS FAIRLY DISPENSED. Sasa kama mnataka tu we na mjadala ambao utaangalia beyong personalities sawa lakini upande wangu nadhani kuna umuhimu wa kufanya reform katika mhimili huu muhimu kwetu kama taifa kwaili kuongeza vitu vitatu:

1. TRANSPARENCY

2. ACCOUNTABILITY

3. DIVERSITY

Naweza kusema kuwa Post Cold War na mpaka miaka ya hivi karibuni kumekuwa na various 'forces' ambao wamekuwa wakitaka kuwepo kwa reforms ambazo zingeangalia au zingeshed light on issues kama vile a) appointment process b)adopting modern personnel management techniques andof course diversifying the bench to more fairly reflect the general population ili kuondoa minongono (rightly or wrongly) kuwa Wachagga au Wakristo wamejikita kwenye hili eneo/ Ninavyofahamu mimi kuwa pressure inatoka from within kwa maana Tanganyika Law Society, and non- legal professionals and governmental actors (kisirisiri au in private) as well as a broad range of social critics such as SHIVJIS and the like na pia bila kusahau SERIOUS press na bila kusahau wale vocal academics.

Its common ukimuuliza mtu wa mtaani atakuwambia kuwa issues zinazochefua judiciary yetu ni 1.criticisms of insider-preferences

2.political cronyism,

3. na bila kusahau the antiquated appointment system


Anyway najua Jaji Othman atakuwa na kazi kubwa ila kama nikipata nafasi ya kuzungumza naye nitamshauri azingatie mambo matatu na si mengine bali nilishatya mention na ndio yata underline reforms zozote tutakazo kuwa nazo kwenye judiciary nazo ni

1. TRANSPARENCY

2. ACCOUNTABILITY

3. DIVERSITY

Mniwie radhi post yangu ndefu kiasi lakini nimeona si vijabaya nikaongezea hayo niliyoyasema hapo awali
 
Wewe ndiyo uko kisiasa zaidi. I have the honour to give you one example of conflict of interest
Family interests, in which a spouse, child, or other close relative is employed (or applies for employment) or where goods or services are purchased from such a relative or a firm controlled by a relative. For this reason, many employment applications ask if one is related to a current employee. If this is the case, the relative could then recuse from any hiring decisions. Abuse of this type of conflict of interest is called nepotism.

And when does it exist?
A conflict of interest can only exist if a person or testimony is entrusted with some impartiality; a modicum of trust is necessary to create it. The presence of a conflict of interest is independent from the execution of impropriety. Therefore, a conflict of interest can be discovered and voluntarily defused before any corruption occurs.

Kwa hiyo neno bias limo ndani ya conflict of interest ambapo hapa wametumia neno "Impartial"

source: Conflict of interest - Wikipedia, the free encyclopedia

Yaani unatumia wikipedia kudefine terms za kisheria? Nenda kasome vitabu vya sheria au tafuta mwanafunzi wa mwaka wa pili anayesoma sheria atakuambia tofauti ya hizo terms mbili. Au angalia baso hata policies za organisations kubwa wanatofautisha kati ya Bias and Conflict of Interest, eg Bias and Conflict of Interest - Residential Tenancy Policy. COI is a situation whilst bias is a perspective. Bias, not conflict of interest, is the enemy. Agrrrrrrrrr! Unanirudisha nyuma.
 
Thanks..... I think now we are talking the same language mipaka yake.........., Serikali separate na Mahakama separate. Sasa unapokuwa na Ndugu yako kwenye Usalama wa Taifa........ na Mwingine kwenye Judiciary hiyo mipaka inaishia wapi..... Do you want to tell me beyond reasonable doubt kwamba hapa hakuna anything wrong?????
Hivyo mambo ya Serikali na usalama wa Taifa yapo kwa Judciary intitutes peke yake? Kwa hivyo unataka kutwambia kuwa TISS haiangalii usalama wa Taifa kwenye Taasisi nyengine. Iwapo hivyo sivyo basi Kiongozi wa TISS hapaswi kuwa na ndugu Serikalini.
 
Back
Top Bottom