Uteuzi huu una harafu kali ya udini....alipomteua justice Ramadhan alijua ni mzee na hata kaa sana......sasa huyu ni kijana atakaa miaka 7..........au kwa lugha nyingine atamzidi JK kwa miaka miwili................................
lengo ni kuhakikisha mapingamizi dhidi ya sheria mpya ya mahakama ya kadhi yanatupiliwa mbali chini ya uongozi wa Chief Justice Othmani.............again JK is simply disgusting..............................
Ulitaka amchague nani ili kusiwe na udini? Kwani aliyechaguliwa amesomea Qur-an au sheria? ana vigezo au hana? Nyie Wagalatia msio nakili nani kawaroga? Yaani bado mna mawazo mgando kiasi hicho? Kumbe hata kina Samatha, Nyalali na Augustino walichaguliwa kwa sababu ya dini zao? sikuwahi kujua. Kweli Wagala mme3kamatika safari hii........