Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Uteuzi huu una harafu kali ya udini....alipomteua justice Ramadhan alijua ni mzee na hata kaa sana......sasa huyu ni kijana atakaa miaka 7..........au kwa lugha nyingine atamzidi JK kwa miaka miwili................................

lengo ni kuhakikisha mapingamizi dhidi ya sheria mpya ya mahakama ya kadhi yanatupiliwa mbali chini ya uongozi wa Chief Justice Othmani.............again JK is simply disgusting..............................


Ulitaka amchague nani ili kusiwe na udini? Kwani aliyechaguliwa amesomea Qur-an au sheria? ana vigezo au hana? Nyie Wagalatia msio nakili nani kawaroga? Yaani bado mna mawazo mgando kiasi hicho? Kumbe hata kina Samatha, Nyalali na Augustino walichaguliwa kwa sababu ya dini zao? sikuwahi kujua. Kweli Wagala mme3kamatika safari hii........
 
Uteuzi huu una harafu kali ya udini....alipomteua justice Ramadhan alijua ni mzee na hata kaa sana......sasa huyu ni kijana atakaa miaka 7..........au kwa lugha nyingine atamzidi JK kwa miaka miwili................................

lengo ni kuhakikisha mapingamizi dhidi ya sheria mpya ya mahakama ya kadhi yanatupiliwa mbali chini ya uongozi wa Chief Justice Othmani.............again JK is simply disgusting...............................

Kelele zote hizi ni kwasababu hiyo nafasi tumezoea inakaliwa na waikristu, sasa inakuwaje rais anatuwekea muislam?Hicho ndicho chanzo cha kelele kwani nafasi za wazee wa kanisa serikalini zinazidi kupungua.
 
Angalia usije ukakufuru ndugu yangu. Wapo watu katika sehemu nyingine duiani wanapenda wangezaliwa Tanzania. Kama humpendi Kikwete au Mh. Chande Kikwete atakwenda mda wake ukifika na vivyo hivyo Chande bali Tanzania itabaki na siku moja hata wewe unaweza kukalia nafasi ya Kikwete au Chade kwa utanzania wako.
 
sio udini hiyo ni favouratism aliyofanyiwa na mdogo wake anayefanya hapo ikulu wala sio siri kwamba judge Mbwana ndo alikuwa amependekezwa huyo akaingia kwa aksante uchakachuaji
 
Ni kweli Jaji Mkuu (JM) na Mkuu wa Usalama wa taifa ni ndugu wa damu, baba mmoja mama mmoja.
Ni kweli pia kuwa katika mchakato wa kupata JM, usalama wa taifa uhusika sana.
Ktk mchakato wa safari hii, JK alimweleza TISS Boss kuwa hapaswi kuhusika kwenye mchakato kwa vile ana conflict of interest.
Ktk orodha, Jaji Othman hakuwa front runner.
on the morning of 26 Dec 2010, TISS Boss alimwendea JK na kumweleza kuwa despite yeye kuwa na conflict of interest kwenye uteuzi wa JM, lkn kuna some facts ambazo JK anapaswa kuzikumbuka kabla ya kufanya uteuzi. Mojawapo ni ukwelikuhusu uchaguzi uliopita (uchakachuzi) na uhusika wa idara (TISS - yeye Othman) katika suala hilo zima. kwamba kwa vile siri ya uchakachuzi huo zimeanza kuvuja, na kwa vile siri hizo hakuna uwezo wa kuzi-control, nani ajuaye hatima yake itakuwa nini? hivyo basi ni bora kuwa na zimwi likujualo kwenye taasis ya mahakama kuliko vinginevyo...manake legitimacy ya urais pia inaweza kuwa at stake....hatimaye, reluctantly JK ikabidi amteue JM huyu tuliyenaye sasa.

kingine kikubwa ni umri wa mteuliwa. wakati yeye na majaji wengine wa pale pale Mahakama ya Rufaa na kwingine wanashare birthdates wakiwa wote wamezaliwa mwaka mmoja na wanajuana kwa hilo tangu wanasome sekondari na vyuo, ghafla kumbukumbu zote za umri wa JM zimeaidha pote au badilishwa... na yeye kuonekana kijana zaidi kuliko umri wake halisi.....

si ajabu basi jamaa amekuwa na wakati mgumu katika idara ya mahakama na si ajabu kumsikia akitaka kuachana nayo...
 
bravo that is a reall testmony and he knows nothing about judiciary si unajua alivyokaa nje muda mwingi?WAMEACHA MTU AMBAYE ANGERUDISHA HESHIMA YA OFICE KAMA SAMATTA God forbid
 
Back
Top Bottom