Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Rais wa Mahakama Kuu ya Kenya(Supreme Court), Jaji David Maraga anasemekana kukataa kiasi cha Kshs. 500,000,000 zilizowekwa kwenye akaunti yake ya benki ya KCB Alhamisi mchana.

Kwa mujibu wa Makao makuu ya KCB yaliyopo KENCOM house Nairobi, akaunti ya Dr. Maraga ilipokea pesa hizo saa tisa mchana kutoka kwa mtu asiyejulikana ambaye kwa mujibu wa Jaji huyo ana lengo la kumchafua yeye na mahakama.

Meneja wa tawi wa KCB, Bw. Kamau Ndung'u amesema Bwana Maraga ametaka pesa hizo zirudishwe zilipotoka kwani hakutegemea pesa kutoka kokote na wao kama benki watafanya hivyo mara moja na pia watajitahidi kumpata mtu aliyeweka pesa hizo ili kuweka mambo sawa na wazi.

=======

The President of Supreme court in Kenya, Justice David Maraga is said to have rejected Kshs.500,000,000 deposited in his Kenya Commercial Bank account on Thursday afternoon.

According to KCB headquarters at KENCOM house, Nairobi. DR.Maraga’s account received Kshs.500m at 3:14pm from unknown depositor who according to CJ wanted to taint his image and that of the court.

In a statement delivered by KCB Executive branch manager Mr.Kamau Ndung’u, Maraga refused the money and ordered the bank to reverse the transaction claiming that he did not expect any money from any quarters.

“We have reached our client Dr.Maraga and its clear he did not expect any money from anywhere. He has requested the bank to do a reverse and we are not going to take time.” said Mr.Kamau

“Our client is bitter with it and the bank is going to produce the depositor in due course for purpose of clarity.” Added Mr.Kamau who spoke to our reporters hours after the news hit on social media.
 
Duuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
 
Duuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
Bilion 10
 

Attachments

  • Screenshot_2017-09-01-20-40-49.png
    Screenshot_2017-09-01-20-40-49.png
    21.7 KB · Views: 60
Back
Top Bottom