Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

Tz yupo Mzee wa madili ni Mwenyekiti wa Bunge....

Alipokea 1Bilioni za Escrow akasema hivi ni Vijisenti...

Na hakuna Mamlaka imeshamuhoji mpaka leo.....

Ndio alikuwa Mwanasheria Mkuu kwenye Mikataba mingi mibovu ya Serikali kahusika lakini yupo anapeta tu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana jaji mkuu wa kenya kuonesha africa tunaweza kuwa wastarabu kuheshimu na kufuata taratibu.

mtatufanya tuwe wazelendo kweli kwa nchi zetu
 
Hakuna nchi yenye rushwa kama Kenya naona mnachangia kwa mihemko mkuu kwani taasisi zote A Kenya zimejaa rushwa sana Mara 10 ya bongo ndiomana unaona Kenya hakuna mwanasiasa masikini wore ni matajiri wakutupwa
 
red: umefanya utafiti?
rushwa kila mahali mkuu.
kuna politician maskini TZ?
 
Wanaomlinda huyo jaji wanapokea amri kwa Kenyatta. Kitu ambacho mashabiki tunakoesea kwa kukosa akili Watu l. Kenyatta anajua mpaka chupi gani huyo jaji amevaa mpaka result alijua.

Urais sio kitu kidogo ana kila rasilimali miguuni mwake sasa story za Kijaluo za kukataa pesa zina govi hizo wangewahonga hata kabla wangeamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom