misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu kwa kunijuza.Kisii ni mji uko kwa kabila la wakisii. wakisii ni kama ndugu na wakuria
I hope atawika kama baba yake
Iyo ya Kenya unazidisha mara 22 ndo upate ela ya tz mkuu, ni ela nyingi ila mbayaDuuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
Huyu jamaa is very arrogant."The schizophrenic jurisprudence with which the petitioner trioxidated the submission is gastrocnemius.... "PLO Lumumba
judges walikuwa wapate Ksh 1Billion per head!Sehemu nyingine wanasema ilikuwa bilion sasa sijui nani anasema ukweli hapa au ndiyo siasa za kutafuta Kura upya??
Iyo ya Kenya unazidisha mara 22 ndo upate ela ya tz mkuu, ni ela nyingi ila mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app