Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

Supplementary question at question time- how much did Jecha pocket to subvert the will of humble Zanzibaris?
 
Duuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
Mara 20 mkuu
 
Sehemu nyingine wanasema ilikuwa bilion sasa sijui nani anasema ukweli hapa au ndiyo siasa za kutafuta Kura upya??
 
Sehemu nyingine wanasema ilikuwa bilion sasa sijui nani anasema ukweli hapa au ndiyo siasa za kutafuta Kura upya??
Habari yote hii ni hadithi za mitandaoni.

Search na hutaiona hiyo habari kwenye chombo chochote reputable cha Kenya wala dunia, ndio yaleyale ya Trump kampongeza Magufuli.
 
nakumbuka mwaka flani tupo na gari ya tumebeba kuni mitaa KISARAWE kumbe wale madereva huwa wanaeka mpingo chini kufika hiyo check point tukakamatwa na alikuwa TRAFIK mmoja tu pekee tulianzia dau elf 50 mpk laki 5 mana wenye gari waliogopa kunyang'wanya leseni ya kubeba kuni basi alikataa mpk mwisho akatuambia "mnajisumbua mm msabato sili RUSHWA" aisee wasabato noma sana we unadhani kina trafiki bongo atajataa HONGO ya laki tano tena yuko peke yake ukizingatia huyo mpingo wenyewe ulifichwa sana sema jamaa alihisi DEREVA akajaa hata kuuona alikuwa bado hajauona bado ila mchecheto wa deteva tu
Hakuna dini inayoruhusu mtu kula rushwa kama ipo nitajie...kua msabato mlutheri mroma au wale wasio wakristo mf waislamu ni wapi umeona mtu anakula rushwa sababu ni wa dini flani?Au unatakwimu Za wala rushwa wengi ni watu wa imani flani

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Duuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
Uhuru Kenyatta ni kioo cha UKAWA
 
'Jaji aliyefuta uchaguzi Kenya, pasua kichwa!' Hehehe watz bana nimependa sana kichwa cha habari cha gazeti hilo!
 
Anaujua umafia wa hao watu. Zinaingizwa saa 9 jioni ukiisha kuandika hukumu yako, zinatoka kimya kimya bila wewe kujua. Ulizipata kimya kimya nazo zaenda kimya kimya.
Uliza madiwani ya Arumeru nini ile ilitokea kwao. Baada ya kupeleka barua kwa DC ya kujiuzulu, kwenda kwa account wakakuta ile chapaa imeyoyoma yote. Wakaanza kilio ya umbwa.
 
Back
Top Bottom