Ni sawa ila serikali ya ccm haiko tayari kwa hilo.Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madalali Juni 30, 2026 amesema hatarajii kuona viongozi wa kisiasa wakiingilia utendaji wa shughuli za kisheria kwa kigezo cha nyadhifa walizonazo katika kamati za ulinzi na usalama za mikoa au wilaya.
"Mimi nisingependa viongozi wa kisiasa waingilie utendaji wa shughuli zenu [Majaji] kwa vigezo kwamba wao ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama za mikoa au wilaya. Sheria inayowasilisha madaraka yao haikuwapa mamlaka hayo... Hatuwezi kuwa, kama mahakama imeshatoa amri halafu mtu mwingine anakwenda kuzuia. Hiyo ni mahakama au ni kitu gani? Lazima tutofautishe shughuli za kisiasa na shughuli za kisheria na maamuzi yanayofanywa na mahakama."
"Kama sisi tutataka tusiingiliwe, na sisi tuwe wasafi. Sisi wenyewe tuwe wasafi. Tutekeleze wajibu wetu kwa mujibu wa katiba, sheria, maadili na kanuni tulizojiwekea ili tusitoe fursa kwa hao..."
Hamjamuelewa.Huyu Jaji kila kukicha mahakama inaingiliwa na tunaona baadhi ya kesi sio kwa matakwa yao ila anaongea kila kukicha jambo hilo hilo tu..
Tundu LissuNani anashikiliwa bila sababu
Mkuu yeye kama Jaji ana muhimili wake toafuti anatakiwa kufanya nini zaidi ya kulalamika kila kukicha kama ana nguvu hizo ambazo unasema.Hamjamuelewa.
Hapo nayeye alalamika wanaingiliwa. Anafikisha ujumbe kwa waingiliaji muhumili wenye mizizi unaofaya teuzi na kugawa mafungu ya pesa ya bajeti ya matumizi.
Nadhani ilitakiwa hizo kesi anazoingiliwa kama ana nguvu tunazoambiwa angezitaja au kuzitolea maamuzi na si hivi anavyofanya anakua analalamika sawa na mimi msaka nyoka tu.Hamjamuelewa.
Hapo nayeye alalamika wanaingiliwa. Anafikisha ujumbe kwa waingiliaji muhumili wenye mizizi unaofaya teuzi na kugawa mafungu ya pesa ya bajeti ya matumizi.
Anaogopa kuishi Kama CAG mstaafu anaye lalamika kila uchwao. Au anaogopa kuwa 'Joblized Ndugailasation'. Njaa mbaya.Nadhani ilitakiwa hizo kesi anazoingiliwa kama ana nguvu tunazoambiwa angezitaja au kuzitolea maamuzi na si hivi anavyofanya anakua analalamika sawa na mimi msaka nyoka tu.
CAG halalamiki mkuu anataka haki yake na alifanya hivyo kutupigania sisi sio maslahi yake ila leo tena tunamnanga sio sawa Mkufunzi.Anaogopa kuishi Kama CAG mstaafu anaye lalamika kila uchwao. Au anaogopa kuwa 'Joblized Ndugailasation'. Njaa mbaya.
Sababu zipo na upelelezi unaendeleaTundu Lissu
Akatae yeye ndo mwenye muhimiliHamjamuelewa.
Hapo nayeye alalamika wanaingiliwa. Anafikisha ujumbe kwa waingiliaji muhumili wenye mizizi unaofaya teuzi na kugawa mafungu ya pesa ya bajeti ya matumizi.
Ukiona hivyo ujue mbuyu hauna time , kila mtu ajipambani kivyakeMbona kipindi hiki cha Lisu tu ndo mahakqmq imeanza kujisafisha wanataka nini hawa watu
Kamaanisha wale watoa haki wala rushwa ni rahisi kwao kuwa compromised maana wakishajua unakula/umekula rushwa kukuanika inakuwa rahisi kama ukienda kinyume na matakwa ya watuDuh? Kwa hiyo wasipokuwa wasafi sheria inakufa? Wao haiwahusu?
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madalali Juni 30, 2026 amesema hatarajii kuona viongozi wa kisiasa wakiingilia utendaji wa shughuli za kisheria kwa kigezo cha nyadhifa walizonazo katika kamati za ulinzi na usalama za mikoa au wilaya.