Jaji Masaju: Kama hatutaki kuingiliwa na Wanasiasa, Sisi wenyewe ndani ya Mahakama tuwe Wasafi

Kwani, pale alipo amewekwa na nani? Hilo tu litoshe kusema 'anacho zungumza ni hadaa'
 
Huyu naye kumwelewa inataka moyo sasa kama ni hivyo wamwachilie Lissu
 
Mkuu wa Mhimili anayechaguliwa na Mkuu wa Mhimili,, halafu anataka Mhimili usiingiliwe kinyume na Mhimili....
 
Ni sawa ila serikali ya ccm haiko tayari kwa hilo.
 
Huyu Jaji kila kukicha mahakama inaingiliwa na tunaona baadhi ya kesi sio kwa matakwa yao ila anaongea kila kukicha jambo hilo hilo tu..
Hamjamuelewa.
Hapo nayeye alalamika wanaingiliwa. Anafikisha ujumbe kwa waingiliaji muhumili wenye mizizi unaofaya teuzi na kugawa mafungu ya pesa ya bajeti ya matumizi.
 
Hamjamuelewa.
Hapo nayeye alalamika wanaingiliwa. Anafikisha ujumbe kwa waingiliaji muhumili wenye mizizi unaofaya teuzi na kugawa mafungu ya pesa ya bajeti ya matumizi.
Mkuu yeye kama Jaji ana muhimili wake toafuti anatakiwa kufanya nini zaidi ya kulalamika kila kukicha kama ana nguvu hizo ambazo unasema.
 
Hamjamuelewa.
Hapo nayeye alalamika wanaingiliwa. Anafikisha ujumbe kwa waingiliaji muhumili wenye mizizi unaofaya teuzi na kugawa mafungu ya pesa ya bajeti ya matumizi.
Nadhani ilitakiwa hizo kesi anazoingiliwa kama ana nguvu tunazoambiwa angezitaja au kuzitolea maamuzi na si hivi anavyofanya anakua analalamika sawa na mimi msaka nyoka tu.
 
Nadhani ilitakiwa hizo kesi anazoingiliwa kama ana nguvu tunazoambiwa angezitaja au kuzitolea maamuzi na si hivi anavyofanya anakua analalamika sawa na mimi msaka nyoka tu.
Anaogopa kuishi Kama CAG mstaafu anaye lalamika kila uchwao. Au anaogopa kuwa 'Joblized Ndugailasation'. Njaa mbaya.
 
Anaogopa kuishi Kama CAG mstaafu anaye lalamika kila uchwao. Au anaogopa kuwa 'Joblized Ndugailasation'. Njaa mbaya.
CAG halalamiki mkuu anataka haki yake na alifanya hivyo kutupigania sisi sio maslahi yake ila leo tena tunamnanga sio sawa Mkufunzi.
 
"................hatarajii kuona viongozi wa kisiasa wakiingilia utendaji wa shughuli za kisheria kwa kigezo cha nyadhifa walizonazo katika kamati za ulinzi na usalama za mikoa au wilaya.........."
Ngazi ya taifa kamati za ulinzi na usalama kwa nini huwazungumzii?
Au mamlaka ya uteuzi haiguswi?
 
Duh? Kwa hiyo wasipokuwa wasafi sheria inakufa? Wao haiwahusu?
Kamaanisha wale watoa haki wala rushwa ni rahisi kwao kuwa compromised maana wakishajua unakula/umekula rushwa kukuanika inakuwa rahisi kama ukienda kinyume na matakwa ya watu
 

Maneno matupu na kujichekesha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…